Mamlaka husika zimzuie Rais Samia: Nchi yetu inaelekea wapi?

Nashindwa kuelewa hivi kina mabeyo hawayaoni haya yanayoendelea,sizani kama kipenzi chetu Magufuri aliyekuwa na uchungu na Tanzania angefanya haya,yaani tumerudi miaka 100 nyuma
Angalia ndugu unachokoza nyuki. Unaweza kupotea mzima mzima usijulikane. watoto wako bado wanakuhitaji. Pili ogopa sana wanajeshi kutawala nchi. Tunaomba hayo yasitokee.
 
Tumeisha shauri sana lakini nchi hii tuna tatizo la udini

Wa imani yake wanaamini ni zamu yao sasa kuuza na kugawa kwa wakoloni wa zamani waarabu,

huwaambii kitu hapo, nasikia mwarabu kawaahidi kuwajengea misikiti

Nchi inaondoka taratiibu miaka michache hakuna nchi
 
Nani atamzuia, rais ndio kila kitu, ndio katiba, ndio sheria, ndio bunge,wa, kumzuia, tulitegemea intelijensia, wamtulize, lakini kule kumejaa sycophants watupu/machawa,
Jwtz ndio kabisa, kuna mgogo mjinga mjinga tu pale juu,
 
Wanajua fika Kila kitu!

Wanataka asigombee tena,ni mwendo wa hujuma za kisayansi Hadi aombe pooo!

Hakuna asiejua haya!
 
Mama Abdul na Abdul wao ni $$$ period!
Uzalendo mtajijuwa....
Inasikitisha sana sana sana...
 
Kumaanisha majeshi yote plus TISS kibongo bongo zina buluzwa na mtu mmoja
 
Mfufueni basi abadilishe
 
Angalia ndugu unachokoza nyuki. Unaweza kupotea mzima mzima usijulikane. watoto wako bado wanakuhitaji. Pili ogopa sana wanajeshi kutawala nchi. Tunaomba hayo yasitokee.
Kupotea siyo tatizo hakuna atakayeishi milele,huwezi kuona vitu vinakwenda sivyo halafu ukae kimya,hata baba zetu angekuwa kimya tusingezaliwa ndani ya Tanzania guru ingawa sasa hivi hatuko huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…