denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Mna ugonjwa wa mtindio wa ubongo, mama yenu auze nchi lawama atupiwe Nyerere, kwani hiyo katiba ndio ilimwambia mama yenu auze nchi?!1. Nyerere alijua anatuachia katiba mbovu lakini bado akakubali tu kuiacha wakati alikuwa na uwezo wa kusababisha ibadilishwe.
2. Wakati vyama vingi vinaanzishwa Nyerere alijua ccm wamejimilikisha maeneo ya umma na majengo yaliyojengwa na Watz wote bila kujali vyama lakini bado aliona sawa na kuwaacha ccm kupora mali za umma bila kuchukuliwa hatua
3. Muungano tulionao niwa kwake Nyerere na Karume. Haukuwahi kuridhiwa na wananchi. Nyerere pamoja na kujua kuwa Tanganyika imepoteza kila kitu aliacha tu huu muungano uendelee kuwepo ili malengo yake ya kisiasa yatimie
Nyerere hawezi kukwepa hizi lawama ndiyo maana Lissu anamlaumu
Nyerere kushindwa kubadilisha Katiba mbovu iliyopo, nyie mliopo sasa kinawashinda kitu gani?, ok, kumbe kwasababu mna mtindio wa ubongo!..