Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

Kuelekea mapambazuko hutangulia giza wapendwa. Mungu ni wa utaratibu hatakaa kimya.
 
Watu kama wewe mnayejua michongo yake ya ndani ndiyo mnatakiwa muhamie Burundi.
Amshukuru sana Mganga wa Yanga SC ( ambaye ni Hatari sana kwa Ulozi ) kwani ndiyo anamsaidia Kumfumba Mama asihangaike Kushughulika nae ( katika Kumtumbua ) na ampende hadi Kumuamini zaidi.
 
wanasema mwenye hayo magari ya esther,ana mtoto mmoja tu wa kike,jina lake esther.
Watanzania tumeshazoea Kudanganywa hivyo wala sishangai na sikushangai pia.

Kuna Rais Mmoja ( Mstaafu na nimemsahau Jina ) aliwahi Kuambiwa na Rais Genius kwa sasa Afrika kuwa anaongoza Maiti.

Je, unaona alipatia au alikosea Ndugu?
 
Mimi nimeandika hapa juzi tu
 
Back
Top Bottom