Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

Kwa mwezi mwigulu anapokei million 60 kash kama.mshahara na malulupu ya wizi nk
Mmmh hii ina ukweli?
Kama ndivyo basi aweza kufanya mambo makubwa akitumia mshara wake kukopa bank
 
Wala hauko mbali na Ukweli Ndugu.
 
Mmmh hii ina ukweli?
Kama ndivyo basi aweza kufanya mambo makubwa akitumia mshara wake kukopa bank
Nyerere alisema ukiamini maneno ya Uwongo ya Mpumbavu ambaye anajua Wewe ni Mwerevu basi hapo Wewe ndiyo unakuwa Mpumbavu maradufu.
 
Tokea upate Kazi hapo Singida Big Stars umekuwa Mnafiki na wa hovyo. Halafu Mwenyewe unadhani hujashtukiwa Wewe ni nani wakati tunakujua na Kukuangalia tu pamoja na kuja na hii ID yako.
Dah Mpwa Kuna Watu wananipa bahati kubwa hivi
 
Nyerere alisema ukiamini maneno ya Uwongo ya Mpumbavu ambaye anajua Wewe ni Mwerevu basi hapo Wewe ndiyo unakuwa Mpumbavu maradufu.
Mtani unajionaga una akili saana lkn kuna wakati unayumba tu fambaf wewe
 
Walisema sijui Kuna mabasi Gani sijui ni yake .....ila Tanza-nia ukiwa mwanasiasa kuwa tajiri ni sekunde tu
Hiyo timu ni ya kwake kwa 100%

Na cha kushangaza siku akiondolewa tu Uwaziri na hiyo timu itaanza kufanya vibaya kwenye ligi, na baadaye itashuka daraja na kupotea mazima.
 
Bado betting company ...huwezi kuwa waziri wakati wewe ni mtoa leseni kwenye biashara ambazo una interest..ni dhahiri kutakuwa hakuna usawa na ukwepaji Kodi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kabisaa anamharibia sana mama
 
Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Huu ni wivu baada ya Simbana Yanga kusajili magarasa..

Mwigulu hajaamza leo kumiliki timu..

Mbona usiseme PM na Mnyeti wachunguzwe kwa kuwa sio tuu Wana timu bali wamejenga viwanja vya mabilioni kwa pesa zao..
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.....tujikumbushe ya gwambina na mnyeti....uhuru hospital ya mwanza na makonda....burigi national park na mwendazake😎
 
Simtetei Nchemba but mabasi ya Ester mmiliki wake ni jamaa mmoja wa Rombo labda na yeye kachomekea la kwake humo siwezi kujua sana
Very easy... Mrombo achunguzwe Siri ya mafanikio yake... Hapo utagundua kama rahisi wa majabali ana mkono au la !!
 
Mwigulu amepigiwa Sana kelele na huwenda hyu jamaaa akaondolewa kweli ktk nafsi hyo ila sioni dalili pia za kutoka


Timu inaajiri mchezaji had Argentina umesikia wapiiiiiiii

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…