Mamlaka kuweni makini kuna mamluki wanataka kuleta fujo na kuisambaratisha amani yetu

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,

Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza

Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
 
Mkishabanwa kwa hoja ndiyo zenu kujidai mnaitetea amani.Hamjaanza leo.Mlianza kwa kuonesha filamu za mauaji ya Rwanda,kuonesha makontena feki yenye mapanga na visu hadi kusingizia watu kesi za ugaidi.Tokeni mbele muuelezee mkataba na DP World umekaaje?Acheni uongo na utapeli!
 
Bandari zetu zote Tanganyika alizopewa mwarabu milele tunazitaka, haiwezekani Mungu atupe rasilimali kwa mapenzi yake, halafu sisi tuzitoe bure kwa wajomba wa kiarabu, huu ni ujinga mkubwa sana usiovumilika milele.
 
Asilimia zinazidi kuongezeka
 
Mkishabanwa kwa hoja ndiyo zenu kujidai mnaitetea amani.Hamjaanza leo.Mlianza kwa kuonesha filamu za mauaji ya Rwanda,kuonesha makontena feki yenye mapanga na visu hadi kusingizia watu kesi za ugaidi.Tokeni mbele muuelezee mkataba na DP World umekaaje?Acheni uongo na utapeli!
Ni mgeni tu ndio hajui na haitakii amani tanzania
 
Hivi,kwa miundo wa familia zetu,namna tunavyoishi,kuchangamana na kuingiliana kimahusiano ya kidugu,ni nani Tanzania hii atainuka na kumchinja mwenzie?Acheni kuzusha mambo ya kuogofya watu na kuwachezea akili zao.Mmeshindwa kutetea kwa hoja makini huo utumbo wenu mnajidai kutanguliza neno amani liwatetee.Hivi hamjui nyakati zimebadilika?
 
Mamlaka zianze na wewe kwasababu huna huruma na mali za Taifa!
Mali ni ya watanzania, wao wataamua vipi wanataka,
Mada inazungumzia wageni kutuletea fujo tanzania
Kwanini?
Si mkaendelee tu kuchinjana huko mlipotokea na kuzoea? Kwani lazima msambaze na huku?
 
Hivi,kwa miundo wa familia zetu,namna tunavyoishi,kuchangamana na kuingiliana kimahusiano ya kidugu,ni nani Tanzania hii atainuka na kumchinja mwenzie?Acheni kuzusha mambo ya kuogofya watu na kuwachezea akili zao.Mmeshindwa kutetea kwa hoja makini huo utumbo wenu mnajidai kutanguliza neno amani liwatetee.Hivi hamjui nyakati zimebadilika?
Dah, mkuu hujui wewe cheche ya moto inavyoweza kuunguza godown looteeee?
Tahadhari sana ni muhimu, nchi imevamiwa na wachochezi kila kona wakiongozwa na majrani kabisaaa
 
Hauna ukweli wowote zaidi ya kuhisi tu unavyotaka.Tokeni hadharani mtoe ufafanuzi wa kinacholalamikiwa.Palipo na makosa yaondolewe na kuufanya uwe bora.Nini shida hapo?Msikaze shingo.
 
Mali ni ya watanzania, wao wataamua vipi wanataka,
Mada inazungumzia wageni kutuletea fujo tanzania
Kwanini?
Si mkaendelee tu kuchinjana huko mlipotokea na kuzoea? Kwani lazima msambaze na huku?
 
Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,

Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza

Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Sawa chawa tumekusikia. Hakikisha unaweka na namba ya simu tayari kwa uteuzi.
 
Back
Top Bottom