Mamlaka kuweni makini kuna mamluki wanataka kuleta fujo na kuisambaratisha amani yetu

Ukitaka kujua ni matusi au si matusi hembu yalekezwe kwako tuone mapokeo yako
 
Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,

Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza

Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Watu wengi ndani ya hizo taasisi hawapo na Mama yenu.
2024 kwenda 2025 mtaona ukweli.
 
Si shida, mama yuko fair na hata upinzani wanaweza baada ya mda mrefu kupata viti vingi bungeni na kwenye udiwani

Tatizoni ni matusi ya nguoni, bas hapo tu
 
Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,

Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza

Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Wenye kuharibu amani ni wenye kulazimisha mambo ya hovyo kwa taifa.
 
Mkishabanwa kwa hoja ndiyo zenu kujidai mnaitetea amani.Hamjaanza leo.Mlianza kwa kuonesha filamu za mauaji ya Rwanda,kuonesha makontena feki yenye mapanga na visu hadi kusingizia watu kesi za ugaidi.Tokeni mbele muuelezee mkataba na DP World umekaaje?Acheni uongo na utapeli!
Wamekosa hoja wamebaki na viroja
 
Hakika mkuu,wakishashiba maharage wanaona ndio maisha hayo,kumbe bado sana
Acha kabisa.Na wakishiba ni wepesi kuingia kucheza ngoma kwa kujichanganya na fujo tele ili kuvuruga utulivu.Na hapo ndipo wanajipa uhalali wa kutujambia hovyo.Tukilalamika wanatutuliza kwa usemi wa kiswahili ..."USHUZI WA NGOMANI MJAMBAJI HAJULIKANI"...!Hapo wanatucheka wakijua fika kabisa ni nani mchafuzi wa hali ya hewa.🤔
 
Sasa hv hawatampelekesha mtu,tumewashtukia,watanganyika hawataki kuuzwa
 
Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,

Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza

Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Nchi ni tulivu kbs wala hakuna wa kuleta uvunjifu wa amani!! Nnachojua kuna kundi halitaki issue ya DP world ikosolewe!!
 
Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,

Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza

Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Kama yula Mbelgiji washughulikiwe haraka sana
 
Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,

Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza

Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.

Sidhani kama kuna mtu anataka kuhatarisha amani ya nchi.
Shida hiko kinatumila kama kivuli mkisha https://jamii.app/JFUserGuide up haalaf mkikosa kuungwa mkono mnakuja na hiyo style

Jamii imebadilika wananchi wamebadilika sana
 
Back
Top Bottom