Jomba usikimbilie huko, sema hivi Viongozi wanaohusika na suala Hilo watoke mbele watoe na kujibu hoja zote zinazotolewa fullstop..wananchi wetu waridhike baasi..Sasa wakikaa kimya wale wenye Nia ovu wanapata nafasi Sasa ya kujipenyeza..suala Hilo si la Rais wetu ni suala la watendaji wawaambie wananchi kiufasaha..wasijiweke pembeni kama vile hawahusiki Sasa sijui wanataka Rais wetu ndio alisemee wakati yeye si mtaalam..kama itaonekana tulibugi Basi Mkataba upigwe chini mapema usije ukahatarisha usalama wa nchi...Tafadhali naomba sana..sana..chondechonde wahusika wajibu hoja zote za wananchi, wanasheria, viongozi mbalimbali hata wa opposition