pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Wasiwasi ndio akiliNi wasiwasi wa watu wachache sana.
Nchi bado ni tulivu na yenye amani.
Na wewe ni mtetezi wa wezi wa bandarini kwa sasa?Hasa wewe mtoa mada ni mtetezi wa wezi DP world. Mamlaka iwe makini na wewe!
Mkishabanwa kwa hoja ndiyo zenu kujidai mnaitetea amani.Hamjaanza leo.Mlianza kwa kuonesha filamu za mauaji ya Rwanda,kuonesha makontena feki yenye mapanga na visu hadi kusingizia watu kesi za ugaidi.Tokeni mbele muuelezee mkataba na DP World umekaaje?Acheni uongo na utapeli!Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,
Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza
Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Asilimia zinazidi kuongezekaBandari zetu zote Tanganyika alizopewa mwarabu milele tunazitaka, haiwezekani Mungu atupe rasilimali kwa mapenzi yake, halafu sisi tuzitoe bure kwa wajomba wa kiarabu, huu ni ujinga mkubwa sana usiovumilika milele.
Ni mgeni tu ndio hajui na haitakii amani tanzaniaMkishabanwa kwa hoja ndiyo zenu kujidai mnaitetea amani.Hamjaanza leo.Mlianza kwa kuonesha filamu za mauaji ya Rwanda,kuonesha makontena feki yenye mapanga na visu hadi kusingizia watu kesi za ugaidi.Tokeni mbele muuelezee mkataba na DP World umekaaje?Acheni uongo na utapeli!
Bandari ni yetu hata kama tukijiibia ni Sisi , sasa wewe unampa jamaa ili aibe apeleke uarabuni , haijulikani vyema kama akili zako kama ziko sawa au zimejaa kinyesiNa wewe ni mtetezi wa wezi wa bandarini kwa sasa?
Hivi,kwa miundo wa familia zetu,namna tunavyoishi,kuchangamana na kuingiliana kimahusiano ya kidugu,ni nani Tanzania hii atainuka na kumchinja mwenzie?Acheni kuzusha mambo ya kuogofya watu na kuwachezea akili zao.Mmeshindwa kutetea kwa hoja makini huo utumbo wenu mnajidai kutanguliza neno amani liwatetee.Hivi hamjui nyakati zimebadilika?Ni mgeni tu ndio hajui na haitakii amani tanzania
Mali ni ya watanzania, wao wataamua vipi wanataka,Mamlaka zianze na wewe kwasababu huna huruma na mali za Taifa!
Dah, mkuu hujui wewe cheche ya moto inavyoweza kuunguza godown looteeee?Hivi,kwa miundo wa familia zetu,namna tunavyoishi,kuchangamana na kuingiliana kimahusiano ya kidugu,ni nani Tanzania hii atainuka na kumchinja mwenzie?Acheni kuzusha mambo ya kuogofya watu na kuwachezea akili zao.Mmeshindwa kutetea kwa hoja makini huo utumbo wenu mnajidai kutanguliza neno amani liwatetee.Hivi hamjui nyakati zimebadilika?
Hauna ukweli wowote zaidi ya kuhisi tu unavyotaka.Tokeni hadharani mtoe ufafanuzi wa kinacholalamikiwa.Palipo na makosa yaondolewe na kuufanya uwe bora.Nini shida hapo?Msikaze shingo.Dah, mkuu hujui wewe cheche ya moto inavyoweza kuunguza godown looteeee?
Tahadhari sana ni muhimu, nchi imevamiwa na wachochezi kila kona wakiongozwa na majrani kabisaaa
Mali ni ya watanzania, wao wataamua vipi wanataka,
Mada inazungumzia wageni kutuletea fujo tanzania
Kwanini?
Si mkaendelee tu kuchinjana huko mlipotokea na kuzoea? Kwani lazima msambaze na huku?
Sawa chawa tumekusikia. Hakikisha unaweka na namba ya simu tayari kwa uteuzi.Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,
Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza
Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Tayari ni mteule siku nyingi tuSawa chawa tumekusikia. Hakikisha unaweka na namba ya simu tayari kwa uteuzi.