Sioni kama unaizungumzia amani, bali naona unasisitiza watanzania tuendelee kuwa makondoo. Naona watu wanazidi kuamshwa kwenye ukondoo ndio mmajifichia kwenye amani. Kama mngekuwa mnajali amani msingekuwa mnapora chaguzi za nchi hii.Ni mgeni tu ndio hajui na haitakii amani tanzania
Ndio sababu unalinda utumbo mpana.Tayari ni mteule siku nyingi tu
Nakula kwa halali, sio wote ni walafiNdio sababu unalinda utumbo mpana.
Acha watu watoe maoni yao katika nchi huru au unataka udikteta wa Magufuli urudi.Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,
Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza
Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Wapi nimezuia?Acha watu watoe maoni yao katika nchi huru au unataka udikteta wa Magufuli urudi.
Usingejipendekeza kama unakula kwa halali.Nakula kwa halali, sio wote ni walafi
Sijipendekezi, nasema ukweli, matusi yamezidi na uongo mwingi usiokuwepo, lengo kwani ni nini?Usingejipendekeza kama unakula kwa halali.
Ukweli sio matusi tafadhali. Tusubiri uchaguzi kwani Tanzania kuna uchaguzi? Hapa kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Matusi huwa yanakuwepo wakati wa uporaji wa chaguzi zetu. Inaonekana ww uhayawani kwenye chaguzi zetu kwako sio tatizo, maana ww ni mfaidika wa uporaji ule.Sijipendekezi, nasema ukweli, matusi yamezidi na uongo mwingi usiokuwepo, lengo kwani ni nini?
Kama ni urais si msubiri sanduku la kura?
Kuna bwana mmoja anaitwa Mkunda sijasikia anatoa tamko lolote juu ya hili. Hivi ukiajiriwa kulinda nyumba na kuna tishio la wizi hupaswi kumtamkia mwajiri wako (wananchi) tishio la uporaji huo?Bandari zetu zote Tanganyika alizopewa mwarabu milele tunazitaka, haiwezekani Mungu atupe rasilimali kwa mapenzi yake, halafu sisi tuzitoe bure kwa wajomba wa kiarabu, huu ni ujinga mkubwa sana usiovumilika milele.
Wewe umetumwa kuhalalisha unyama na udikteta wenu kwa kisingizio cha wananchi kulalamika et rais anatukanwa haishimiwi, udini na amani... nyuzi zako za hivi tushakushtukia lakini kama hamkujifunza kwa Magufuli mtakutana na hasira ya Mungu siku mojaKwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,
Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza
Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Hilo ni pimbi kama mapimbi wengine hilo lisikuumize kichwaSioni kama unaizungumzia amani, bali naona unasisitiza watanzania tuendelee kuwa makondoo. Naona watu wanazidi kuamshwa kwenye ukondoo ndio mmajifichia kwenye amani. Kama mngekuwa mnajali amani msingekuwa mnapora chaguzi za nchi hii.
Rudisheni bandari za wananchi acheni upumbavu, mtalambwa shauri zenuKwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,
Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza
Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Jomba usikimbilie huko, sema hivi Viongozi wanaohusika na suala Hilo watoke mbele watoe na kujibu hoja zote zinazotolewa fullstop..wananchi wetu waridhike baasi..Sasa wakikaa kimya wale wenye Nia ovu wanapata nafasi Sasa ya kujipenyeza..suala Hilo si la Rais wetu ni suala la watendaji wawaambie wananchi kiufasaha..wasijiweke pembeni kama vile hawahusiki Sasa sijui wanataka Rais wetu ndio alisemee wakati yeye si mtaalam..kama itaonekana tulibugi Basi Mkataba upigwe chini mapema usije ukahatarisha usalama wa nchi...Tafadhali naomba sana..sana..chondechonde wahusika wajibu hoja zote za wananchi, wanasheria, viongozi mbalimbali hata wa oppositionKwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,
Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza
Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Nani kakwambia mambo ya urais.tutolee ujinga hapa.Sijipendekezi, nasema ukweli, matusi yamezidi na uongo mwingi usiokuwepo, lengo kwani ni nini?
Kama ni urais si msubiri sanduku la kura?
Samia amefanya kazi kubwa sana kuikuza nchi kisiasa na kijamii na kujenga uchumi kwa kumaliza miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake.Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,
Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza
Bado nachunguza ila kwa nilivyokusanya mpaka sasa tuna wageni wengi wenye nia mbaya na tamaa ya kunywa damu tuwe makini sana.
Endelea kupalilia hio teuzi acha lomoniSijipendekezi, nasema ukweli, matusi yamezidi na uongo mwingi usiokuwepo, lengo kwani ni nini?
Kama ni urais si msubiri sanduku la kura?
Mnona tayari pm ameshaeleza juzi? Au hujapata habari?Jomba usikimbilie huko, sema hivi Viongozi wanaohusika na suala Hilo watoke mbele watoe na kujibu hoja zote zinazotolewa fullstop..wananchi wetu waridhike baasi..Sasa wakikaa kimya wale wenye Nia ovu wanapata nafasi Sasa ya kujipenyeza..suala Hilo si la Rais wetu ni suala la watendaji wawaambie wananchi kiufasaha..wasijiweke pembeni kama vile hawahusiki Sasa sijui wanataka Rais wetu ndio alisemee wakati yeye si mtaalam..kama itaonekana tulibugi Basi Mkataba upigwe chini mapema usije ukahatarisha usalama wa nchi...Tafadhali naomba sana..sana..chondechonde wahusika wajibu hoja zote za wananchi, wanasheria, viongozi mbalimbali hata wa opposition