Mimi nadhani kama kuna wanaume kweli na wanadhani watetezi wa nchi hii basi hakuna haja kwa majina fake kuwekwe sheria unajisajili na ID yako hakuna kujificha nyuma ya keyboard ndio mtajuwa kuna vitu sio vya kuchezea. Mimi wale wanaotumia majina yao halisi nawa heshimu kama humu JF P.Mayala tu hao mimi naweheshimu lakini sisi sote ni fake. Ila na ufake wangu serikali lazima iwachukulie hawa wenye kutukana viongozi bana mapumbu mpaka akirudi nyumbani nje asitoke kwa aibu.