Mkuu zurri nina swali kidogo naomba ufafanuzi kwanini umesema SHETANI WA KIJINI?
pili, uyo Azazuri/Aba ndiye yule AZAZEL ambaye ni moja ya malaika 200 wanaotajwa katika kitabu cha HENOKO??
@zurri iko vizuri ila umefupisha mno maelezo ukiweza ingia deep kidogo... Hasa kwenye suala la shetani jini kuumbwa kwa moto... Je jini na shetani jini wana tofauti gani?
Asante sanaSwali zuri hilo tunalijibu kwa mtindo huu "Si kila jini ni shetani"
Vile vile sifa ya shetani hata binadamu anakuwa nayo yaani binadamu anaweza kusifika kwa sifa ya "SHETANI",yaani sifa za kuasi na kuwashawishi wengine wafanye maovu.
Ninacho kupendea Mshana, mara nyingi hua unaleta HOJA fikirishi, well done brother.
Nichangie name ninavyo fahamu kidogo kuhusu hu uzi uliouleta; Ukisoma Biblia shetani (kabla ya kutupwa duniani alikua akiitwa Kerubi) hakua mkuu wa malaika kama watu wanavyo jaribu kufikiri, alikua mkuu wa Idara ya UIMBAJI, huko mbinguni inaitwa idara ya kusifu na kuabudu na Michael/Mikaeli yeye ni mkuu wa vita wakati Gabriel yeye ni mkuu wa kutoa habari; ukisoma kitabu cha Daniel nafikiri sura ya 7, malaika mmojawapo aliyetumwa kumletea habari Nabii Daniel anamwambia hivi Daniel, "....Ewe Daniel unaye pendwa sana...., maombi yako yalisikiwa tokea siku ile ulipo OMBA lakini yule mkuu wa UAJEMI alimzuia aliyetumwa nae Mikaeli mmojawapo wa wakuu..." hilo neno mmojawapo wa wakuu lina maana kwamba huko mbinguni wakuu wapo wengi! Again, hatuna hakika ni lini shetani alitupwa duniani, je ni baada ya uumbaji au kabla ya uumbaji!? No body knows kwasababu kwanini huyu huyu shetani alimuijia HAWA pale bustanini na kumdanganya!? LEt su wait from the Bible scholar to explain more
Mmh... 😳 😳 😳 😳Hapa naona swala la uimbaji likiwa limeanza zamani asili ikiwa mbinguni na Kiongozi wa Kwaya baadae akatoswa, waimbaji wa nyimbo za kidunia unakuta mtu anasauti maridhawa tamu hadi unapagawa. Sijui kuna connection na ule msemo wa "Sauti ya kumtoa nyoka pangoni" Nyoka kama kwaya Master!!!
!
!
Hold On.. .. Kwa Hiyo Dunia Ilishakuwapo Ila Ilikuwa Kiwa Na Tupu? Kwamba Kuanzia Chini Hadi Kuleee Juu Ni Maji Maji Na Giza? Vipi Jua Lilikuwepo Kabla?
Kitabu cha mwanzo kina majibu yote!
!
Wakati Wanaumba Au Anaumwa Alikuwa Wapi? Mbingu Na Nchi. . . Kwamba Mungu Aliiedit Tu Dunia Au
Kuna vitu majibu yake kuyapata ni ishu mkuuhivi maandiko yanayodai shetani sijui alitupwa toka mbinguni huwa yanatokea wapi?
mwenye andiko atusaidie hapa
Vita ya mbinguni ilikuwa before Adam hajaumbwa. Shetani alishatupwa duniani na malaika zake. Shetani anajua principle za Mungu ndio maana ili aweze kupata kibali cha ku operate duniani ilibidi atumie mwili wa nyoka.Je shetan alimkuta adam dunian au shetan alianza ndio adam akafata