Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

Serikali isipokusanya kodi hatutasafiri, umewahi kuwaza hiyo
Sijasema wasikusanye kodi, maana kodi ipo sehemu nyingi , ila sehemu kama za vyakula na madawa ya binadamu ni nyeti sana, sio vya kushabikia kihivyo, watu watakufa kwa kukosa chakula na madawa. Mkazo uwekwe kwenye Pombe, Sigara na Kamari
 
Hujielewi wewe zuzu,ripoti ya CAG huwa unazisoma Kila mwaka uone kodi zetu zinavyoliwa?bwege kama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…