Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana.

Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena kazidisha maana ni msomi wa degree mbili.

Karia ndiyo ujue wewe ni mtoto mdogo tu, last time ulichimbwa mkwara hadharani kwa sasa kitakachofata ni kuchapwa vibao na sope takadini LIBABE LILILOSHINDIKANA NCHI HII.

mamlaka.JPG
 
Kisa ameenda bungeni ndio mnaanza kutetemeka, wakimfungulia huyo sharti wawafungulie na wengine wote waliofungiwa, mnapenda kumkuza sana huyo ndondocha.
Huyu jamaa ana matatizo kashagombana na karibu kila mchambuzi. Jana naona tena anaparuana na Ali kamwe.

wee mtu gani ukorofishane na karibu kila mtu.
 
Mkeka bado upo vile vile wenye ubongo yanga ni wawili tu.
 
Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana

Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena kazidisha maana ni msomi wa degree mbili

Karia ndiyo ujue wewe ni mtoto mdogo tu , last time ulichimbwa mkwara hadharani kwa sasa kitakachofata ni kuchapwa vibao na sope takadini LIBABE LILILOSHINDIKANA NCHI HII


View attachment 2362910
Haiwezekani waarabu waishike serikali kwa ajili ya huyu kiumbe.
Yaani nchi waiweke rehani kufungiwa kwa ajili ya Haji?
Hii si ni kurudisha nyuma uwekezaji katika soka?

Kama kweli kuna ujinga kama huo,mbona taarifa kufika FIFA ni rahisi sana?
 
Haiwezekani waarabu waishike serikali kwa ajili ya huyu kiumbe.
Yaani nchi waiweke rehani kufungiwa kwa ajili ya Haji?
Hii si ni kurudisha nyuma uwekezaji katika soka?

Kama kweli kuna ujinga kama huo,mbona taarifa kufika FIFA ni rahisi sana?
tutasaidiana kwa wingi wetu na petitions za kutosha hadi fifa waangushe rungu kwanza tupumzike atleast takadini atakuwa amedhihirisha ukubwa wake nchi hii
 
Back
Top Bottom