Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana.

Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena kazidisha maana ni msomi wa degree mbili.

Karia ndiyo ujue wewe ni mtoto mdogo tu, last time ulichimbwa mkwara hadharani kwa sasa kitakachofata ni kuchapwa vibao na sope takadini LIBABE LILILOSHINDIKANA NCHI HII.

View attachment 2362910
Serikali haiwezi kuingilia TFF
 
Back
Top Bottom