njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
- #21
TUTAWASAIDIA SAFARI HII ......FIFA WATAPOKEA E MAILS NA PETITIONS HADI WACHANGANYIKIWE, LAZIMA WATAFANYA UCHUNGUZITFF haipo huru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUTAWASAIDIA SAFARI HII ......FIFA WATAPOKEA E MAILS NA PETITIONS HADI WACHANGANYIKIWE, LAZIMA WATAFANYA UCHUNGUZITFF haipo huru
Huyo jamaa hapo kushoto ndio takadini!!.?Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana
Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena kazidisha maana ni msomi wa degree mbili
Karia ndiyo ujue wewe ni mtoto mdogo tu , last time ulichimbwa mkwara hadharani kwa sasa kitakachofata ni kuchapwa vibao na sope takadini LIBABE LILILOSHINDIKANA NCHI HII
View attachment 2362910
yes................................. sope takadini zeru square KIVUNJA UDUGUHuyo jamaa hapo kushoto ndio takadini!!.?
NA KWELI AISEE MATUSI WATU WA ME MISS , SASA HIYO IKITOKEA TU FIFA WATAPOKEA EMAILS ZA KUTOSHA NA PETITIONS NAO WAICHANGAMSHE MAMLAKA YA JUU NA TFF KWA KIFUNGO KIDOGO TUBAKI NA KUSHABIKIA KINA MANDONGAWamfungulie akachangamshe ligi...
Ndy yeye huyo DjedanHuyo jamaa hapo kushoto ndio takadini!!.?
Amelijibu hilo.Huyu jamaa ana matatizo kashagombana na karibu kila mchambuzi. Jana naona tena anaparuana na Ali kamwe.
wee mtu gani ukorofishane na karibu kila mtu.
Mzee tff hii ngoma hawawezi kulegeza na serikali wanajua Hilo kuingilia huko ni hatar fifa atatufungiaTFF haipo huru
Ally ndiye aliyeanza kumsema Haji,mbona hukusema Ally mgomvi?Huyu jamaa ana matatizo kashagombana na karibu kila mchambuzi. Jana naona tena anaparuana na Ali kamwe.
wee mtu gani ukorofishane na karibu kila mtu.
Uyafahamu maisha ya haji wewe!Takadini njaa imemkaba pabaya. Kifungo alichopewa dili za hela kubwa kubwa zinampita
So kila siku yy ndiye anachokozwa?Ally ndiye aliyeanza kumsema Haji,mbona hukusema Ally mgomvi?
Aisee ndio Djedan tena....Ndy yeye huyo Djedan
Tutawaambia fifa ukweli wote lifungiwe tu hili li nchiNgoja tuone...
peleka basi[emoji23][emoji23][emoji23]Haiwezekani waarabu waishike serikali kwa ajili ya huyu kiumbe.
Yaani nchi waiweke rehani kufungiwa kwa ajili ya Haji?
Hii si ni kurudisha nyuma uwekezaji katika soka?
Kama kweli kuna ujinga kama huo,mbona taarifa kufika FIFA ni rahisi sana?
TFF haipo huru