njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Unamanisha mamlaka za juu zina njaa zimechukua mlungula wa waarabu?Njaa mbaya jamani
Huyu jamaa ana matatizo kashagombana na karibu kila mchambuzi. Jana naona tena anaparuana na Ali kamwe.Kisa ameenda bungeni ndio mnaanza kutetemeka, wakimfungulia huyo sharti wawafungulie na wengine wote waliofungiwa, mnapenda kumkuza sana huyo ndondocha.
FIFA Itaumulika Huo Mlango ChapShafii Dauda na wengine basi waachiwe kwa msamaha wa mlango huohuo wa nyuma unaoandaliwa kumtoa huyu
Takadini njaa imemkaba pabaya. Kifungo alichopewa dili za hela kubwa kubwa zinampitaUnamanisha mamlaka za juu zina njaa zimechukua mlungula wa waarabu?
Haiwezekani waarabu waishike serikali kwa ajili ya huyu kiumbe.Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana
Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena kazidisha maana ni msomi wa degree mbili
Karia ndiyo ujue wewe ni mtoto mdogo tu , last time ulichimbwa mkwara hadharani kwa sasa kitakachofata ni kuchapwa vibao na sope takadini LIBABE LILILOSHINDIKANA NCHI HII
View attachment 2362910
tutasaidiana kwa wingi wetu na petitions za kutosha hadi fifa waangushe rungu kwanza tupumzike atleast takadini atakuwa amedhihirisha ukubwa wake nchi hiiHaiwezekani waarabu waishike serikali kwa ajili ya huyu kiumbe.
Yaani nchi waiweke rehani kufungiwa kwa ajili ya Haji?
Hii si ni kurudisha nyuma uwekezaji katika soka?
Kama kweli kuna ujinga kama huo,mbona taarifa kufika FIFA ni rahisi sana?