Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

hii nchi tunakokwenda ni kubaya sana, ardhi ndiyo hivyo, maisha yanapanda, tukiendesha magari tubebe vyeti-leseni hazina maana tena....kero kila siku
 
Jamaa alikuwa anapiga kazi sana kimya kimya hapendi "show off" za kijinga kijinga kwenye vyombo vya habari. Utendaji wake ndio ulikuwa unamtangaza zaidi kuliko vyombo vya habari. Alifanikiwa sana kupunguza rushwa wizara ya ardhi japo sio kwa asilimia 100 lakini walau ilipungua kidogo. Aliyemtoa uwaziri ndio anajua kwa nini alimtoa ila itapendeza zaidi iwapo atafikiria kumrudisha kabla mambo hayajawa mabaya kwenye hii wizara.
 
Hoja ilitakiwa kuwa mamlaka za uteuzi ,ifanye vetting zao viziri !
Kusema kuwa lukuvi arudi si jambo baya ila halileti picha nzuri kwa maana kwa ustawi wa jamii
Nchi hii ina hazina ya wasomi wengi na wenye vipaji vya uongozi ni wengi pia , ilitakiwa wapewe nafasi watu hao badala ya kurudiarudia walio underperform
 
Nakuunga mkono kwa asilimia mia moja. Tunaomba Lukuvi arudishwe kwenye nafasi ya Waziri wa Nishati.
 

Mamlaka za uteuzi zinateua wamama wengi na ili watekeleze mambo ya serikali lazima waombe ushauri kwa waume zao kwanza .​

Na waume zao hawajulikani waliko na huko waliko hawajulikani wanachokifanya.​


Dah🤔
 
Nyie ndo mlimharibu baada ya kuwa kila akilinda kilichofanywa na jpm, jpm ndo anasifiwa na mama kupondwa eti Hana jipya. Sasa ameona yaishe na yeye aanzishe vya kwake ili vya jpm vibaki palepale. Nani asiyependa sifa
 
Kwa jpm kujuana ndo kulikuwa kwingi Sana na ajira zilikuwa zinatafutwa kwa remote. Afadhari mama japo kujuana lakini employment vacancies ni lundo ile ya kukutana shule watu mia tano wakati nafasi ni mbili haipo Tena. Muache mama achape kazi. Kuchapa kazi ni akili siyo kufoka.
 
Kwenye huu utawala yaani baadhi ya mambo yatarudi tu,yale ambayo JPM alikua hayataki.Wahuni watanyanyasa sana wanyonge,ni suala la muda tu.
Yarudi mara ngapi? Umeme sasa hivi ni wa uhakika? Maji vipi?
 
Lukuvi namkubali sana,sikuona ni kwa nini alitolewa.
 
Kwenye huu utawala yaani baadhi ya mambo yatarudi tu,yale ambayo JPM alikua hayataki.Wahuni watanyanyasa sana wanyonge,ni suala la muda tu.
Be one of them. Nani amekukatazq wewe kunyonya wengine. Au uwezo wa akiri huna. Hii dunia ndugu ni survival of the fittest ndo Mana kipindi Cha jpm wasukuma ndo walidominate kila kona mpaka usalama wa taifa
 
Alishapewa majukumu mengine ya kumsaidia rais wa nchi, mwacheni kwa sasa.
 
Be one of them. Nani amekukatazq wewe kunyonya wengine. Au uwezo wa akiri huna. Hii dunia ndugu ni survival of the fittestkaka ndo Mana kipindi Cha jpm wasukuma ndo walidominate kila kona mpaka usalama wa taifa
ni kweli ila kaka umemjibu kikatili sana, laah !!
 
Hivi nyie wapuuz wa dikteta muuaji, kwani huyo Lukuvi hiyi wizara ya baba yake au kazaliwa nayo,

Kwaiyo hakifa Lukuvi na hiyo wizara haipo Tena,

Lukuvi mdini Sana Kwanza hafai
 
Nyie mmmmbwa si kutwa mnamtukana Samia humu??! Sasa huyo sukuma gang mwenzenu akawe waziri huko chato
 
Magufuli alikuwa dikteta na fisadi,hapaswi kuigwa lolote, msimpangie Rais kkkkenge nyie
 
Kwenye huu utawala yaani baadhi ya mambo yatarudi tu,yale ambayo JPM alikua hayataki.Wahuni watanyanyasa sana wanyonge,ni suala la muda tu.
Huyo gpm alikuwa muuaji wa hao wanyonge
 
Dunia hii kama.huna akiri unastahili kufa. Hatuwezi kukumbeleza uishi wakati uwezo wa kuishi huna
MPUMBAVU mmoja alilima mashamba la mizabibu akavuna mavuno mengi na kupata faida.

Akajiambia moyoni, Ee nafsi yangu furahia matunda ya KAZI Yako iliyo Tukuka.

YESU anasema wakati MPUMBAVU a
nafurahia utajiri wake mwingi'', MUNGU alikuwa amemwagiza MALAIKA MTOA ROHO aende kuchukua ROHO ya TAJIRI yule usiku Ule Ule!!

Ask yourself, MALI yote alokusanya mbona haikumsaidia kuepuka mauti?

Acheni mawazo ya kipumbavu, Maana MUNGU hafurahii KUFA Kwa MPUMBAVU. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…