Mamlaka za uteuzi tafadhali mturudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi

Possible Lukuvi alikuwa anafanya kazi akiwa pembeni ya kamera za TV kwa makusudi maalum ya kununua umaarufu ili baadae watetezi wake waje wamsaidie kama anataka vyeo vya juu zaidi.

Nchi ina makundi mawili na yote ni ya CCM, uzuri ni kwamba wagombanao ndio wapatanao.
 

Mamlaka za uteuzi zinateua wamama wengi na ili watekeleze mambo ya serikali lazima waombe ushauri kwa waume zao kwanza .​

Na waume zao hawajulikani waliko na huko waliko hawajulikani wanachokifanya.​

Tatizo akina mama wakiteuliwa wanaacha Waume zao kama mkuu wa wilaya ya pangani kenda Kuwa mke wa pili wa Waziri.
 
Mungu hapendi maskini. Ukiwa maskini tu hata mungu anakuona huna akiri
Wewe mpumbavu ukiondoa maskini wote duniani unafikiri Kuna tajiri atasalia? Huko shule ulienda kusomea ujinga? Acha kufuru wewe ukoo wako hauna maskini? Kwa nini wasianze kufa kwanza?
 
LUKUVI waziri BORA wa ARDHI kupata KUTOKEA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
1000% naunga mikono na miguu hoja hii..
 
Migogoro ya ardhi ni matunda ya mfumo mbovu wa Ujamaa ambao serikali ilipora ardhi yote ya nchi. Tangu serikali iwapore wananchi ardhi yao waliorithi kwa mababu zao na kuiweka chini ya Nyerere, kumetokea watu kuhamishwa vijijini kwao kwa nguvu kupelekwa vijiji vya Ujamaa, serikali kuhamisha watu kwa nguvu, serikali kutoa hati ya ardhi moja kwa watu wengi, na migogoro ya ardhi mingine chungu mzima.
 
Naunga mkono hoja arudishwe hata kesho ila naibu asiwe Riz yule kijana amekaa kipigaji
 
Pole Lukuvi, sahau kabisa kuridishwa baraza la mawaziri. Tunajuwa ulikuwa unapata uwaziri kwa kuwa snitch watu kwenye mamlaka zilizokupa nafasi kutokana na tabia yako ya unafiki.

Hata wanafiki wanazeeka, Lukuvi umezeeka hutakiwi tena
 
Lukuvi Kwanini hakumaliza mgogoro wa ardhi ulioko Mbopo katika kata ya Magwepande ?

Ni kweli kuna mambo mengi mazuri amefanya ikiwemo kuanzishwa kutolewa hati kwa njia ya kielektoniki na walau kwa kasi fulani ingawa sio bado sio ya kuridhisha sana ingawa ni afadhali kuliko hapo nyuma kabla.
 
Tangu Uhuru Lukuvi ndie waziri wa ardhi pekee aliye -“add value “ katika kuleta tija na ufanisi wa kuondoa kero za wananchi kwenye maswala ya ardhi .

Amewafunika hata ma-professor ambao waliwahi Fanya kazi pale wizarani.

Lukuvi udumu .
 
Alirejesha nidhamu Kwa watumishi wa wizara ya ardhi na Halmashauri kitengo cha ardhi.

Zile hadithi za mwananchi ukifika kufuatilia swala lako unaambiwa faili limepotea halionekani ziliisha hizo Habari.
 
Kama mtu ukiamua kufanya analitical review unaona wakati wa Lukuvi akiwa Waziri ndipo idadi ya hati nyingi zilitolewa kwa wananchi badala ya kupigwa danadana kama miaka ya nyuma.

Actually ilimuwia wepesi pia kwa uwepo wa Rais Magufuli the late sababu ya support iliyotoka juu.

Kwa hiyo kama Taifa tulipata faida kutoka Kwa yeye mwenyewe Lukuvi Kwa utashi na utayari wake wa kutumikia waTZ kwa moyo wa dhati,

Na support toka Kwa supreme leader the late Magufuli nae alikuwa anapenda kuona kero za wananchi zikiondolewa kwa kupata wanayotaka kwa wakati.

Na misimamo alikuwa nayo the late Magufuli ilisaidia sana huku chini mambo kwenda mbele!

RIP anko J. Magufuli.
 
Lukuvi mimi nasikitika kwa jambo moja tu Kwanini hukumaliza mgogoro wa ardhi uliopo Mbopo katika kata ya Magwepande?

Mgogoro umedumu miaka mingi wavamizi wanafaidika kwa hela za watu ambao walinunua ardhi Kwa mikopo mikubwa na vinua mgongo Mafao ya kustaafu lakini hawafaidiki na maeneo yao badala yake wahuni ndio wanatumia maeneo ya watu ?

Serikali mnasubiri Rais Samia ndio aje kutatua ?

Kamati ya RC ilifanya kazi ya uhakiki wa maeneo baada ya hapo

Tuliona DC Gondwe Alitoa siku 7 wavamizi waondoke lakini ziliisha ikawa kimya.


Mbona kimya ?
 
Lukuvi mimi nasikitika kwa jambo moja tu Kwanini hukumaliza mgogoro wa ardhi uliopo Mbopo katika kata ya Magwepande?

Mgogoro umedumu miaka mingi wavamizi wanafaidika kwa hela za watu ambao walinunua ardhi Kwa mikopo mikubwa na vinua mgongo Mafao ya kustaafu lakini hawafaidiki na maeneo yao badala yake wahuni ndio wanatumia maeneo ya watu ?

Serikali mnasubiri Rais Samia ndio aje kutatua ?

Kamati ya RC ilifanya kazi ya uhakiki wa maeneo baada ya hapo

Tuliona DC Gondwe Alitoa siku 7 wavamizi waondoke lakini ziliisha ikawa kimya.


Mbona kimya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…