Mamlaka za Uteuzi wa Viongozi zinadhihirisha wazi kuna tatizo kwenye utaratibu wa "Vetting"

Uko sahihi sana, maana hata hata hao wafanya vetting wanapatikana kwa connections!
Hii Nchi bila connection hutoboi kama wasemavyo Vijana.

Ndiyo maana baadhi ya watu humu wanakazi ya kusifia hadi kuweka namba zao za simu mwishoni mwa maandiko yao lakini Uteuzi wanapata watu wengine tu.

Hii ndiyo Tanzania yetu ya Connection 😅
 
Kaka Pascal hoja yako ni nzito sana, inamaana Nzilankende alikuwa siyo Mtanzania plus hao uliowataja?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Mkuu butron , mikoa ya pembezoni kuna muingiliano mkubwa sana!. Mipaka imewekwa na wakoloni kwa straight lines hivyo kuna koo zimekatwa wengine wako huku wengine wako kule. Mutukula kuna watoto wa Uganda wanasoma Mutukula. Pale Namanga hakuna hoteli yoyote ya maana upande wa Tanzania hivyo watu wote wanakula Kenya.
Ukisoma michango ya watu humo utajifumza kitu!.
P
 

Ameen!
 
Kura yangu itaenda mgombea wa upinzani
 
Tumefanya makosa kwenye mambo yafuatayao:

1. Kuruhusu TISS kuingia kwenye uchaguzi wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM na akishinda TISS ndio wanaanza kumlinda kana kwamba ndio Rais. Hii inaonesha TISS sio agency ya Umma Bali ya CCM. Na huu ujinga tuukatae. Kama TISS wanaona wao wapo kwaajili ya CCM basi turudi kwenye mfumo wa chama kimoja hakuna jinsi. Hatutaendelea kwa ujinga huu.

2. Kukubali kuteua machawa na watu walioshindwa ubunge kuwa wakurugenzi wa halmashauri na manispaa. Ukurugenzi inatakiwa iwe administrative job sio siasa, Sasa angalia tangu tumefanya hivyo, kila siku ni ufisadi kwenye ripoti za CAG. Mkurugenzi anatakiwa atokee ndani ya watumishi waandamizi wa halmashauri na sio kuokota mtu kijiweni na kumpa ukurugenzi.

Serikali yetu iamke iachane na haya mavitu.
 
Kweli bila connection hutoboi !!
 
Nan aliekwambia bongo kunafanyika vetting kwa viongoz? Wee husikii viongoz wenyew wanalalamika kua wamesukumiwa huko na kujikuta rais!
 
Hamuoni hata aibu kulaumu serikali? Mnalaumu serikali kwani kuna dereva ndani? Gari inatembelea neutral hii
 

Upstairs anatia shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…