Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wapo wengi sn ambao hawafai hata kdgMakonda, Kingai na Biswalo hawafai kuwa viongozi wa umma.
Huu ndio ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi sn ambao hawafai hata kdgMakonda, Kingai na Biswalo hawafai kuwa viongozi wa umma.
Huu ndio ukweli.
Hii Nchi bila connection hutoboi kama wasemavyo Vijana.Uko sahihi sana, maana hata hata hao wafanya vetting wanapatikana kwa connections!
Mkuu butron , mikoa ya pembezoni kuna muingiliano mkubwa sana!. Mipaka imewekwa na wakoloni kwa straight lines hivyo kuna koo zimekatwa wengine wako huku wengine wako kule. Mutukula kuna watoto wa Uganda wanasoma Mutukula. Pale Namanga hakuna hoteli yoyote ya maana upande wa Tanzania hivyo watu wote wanakula Kenya.Kaka Pascal hoja yako ni nzito sana, inamaana Nzilankende alikuwa siyo Mtanzania plus hao uliowataja?
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kuna tatizo kubwa, kama tungekuwa serious na vetting hata huyu SSH asingepewa umakamu wa Rais in the first place, kikitokea cha kutokea anakuwa Rais. Pale angekuwa labda majaliwa.
Level yake ilibidi iishie kama naibu waziri wa kina mama, watoto na jinsia au kwenye NGO moja ya kuomba misaada na kuandaa makongamo, warsha, semina na kusafiri safiri duniani.
Kura yangu itaenda mgombea wa upinzaniTatizo ni yeye SSH. Hata vetting ikiwa vizuri sijui kama anatiliab ushauri maanani.
Yeye anchagua na kutengua jinsi anavyojisikia na inategemea anaamkaje, au madhara yakishakuwa makubwa sana kama issue ya umeme, wizara ya nishati au issue ya DP world ndio anafanya maamuzi.
Makonda, Kingai na Biswalo hawafai kuwa viongozi wa umma.
Huu ndio ukweli.
Duh !Kaka Pascal hoja yako ni nzito sana, inamaana Nzilankende alikuwa siyo Mtanzania plus hao uliowataja?
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kweli bila connection hutoboi !!Hii Nchi bila connection hutoboi kama wasemavyo Vijana.
Ndiyo maana baadhi ya watu humu wanakazi ya kusifia hadi kuweka namba zao za simu mwishoni mwa maandiko yao lakini Uteuzi wanapata watu wengine tu.
Hii ndiyo Tanzania yetu ya Connection 😅
Ni kweli Mkuu, ndiyo maana hao hao wenye connection ndiyo wanaendelea kuitafuna keki ya Taifa peke yaoKweli bila connection hutoboi !!
Kabisa !Ni kweli Mkuu, ndiyo maana hao hao wenye connection ndiyo wanaendelea kuitafuna keki ya Taifa peke yao
Nan aliekwambia bongo kunafanyika vetting kwa viongoz? Wee husikii viongoz wenyew wanalalamika kua wamesukumiwa huko na kujikuta rais!Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu.
Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao ameendelea kuwakumbatia licha ya kuwa na kashfa mbaya kiuongozi.
Baadhi ya Viongozi hao ni pamoja na Makonda, Chalamila, Biswalo Mganga, Kingai na wengine wengi.
Hapa tu inaonesha aidha kuna shida katika idara ya Usalama wa Taifa eneo la Mahusiano kwa Umma au Rais anapuuza makandokando yaliyopo nyuma ya anaowateua kwa maslahi yake binafsi.
Hamuoni hata aibu kulaumu serikali? Mnalaumu serikali kwani kuna dereva ndani? Gari inatembelea neutral hiiKwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu.
Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao ameendelea kuwakumbatia licha ya kuwa na kashfa mbaya kiuongozi.
Baadhi ya Viongozi hao ni pamoja na Makonda, Chalamila, Biswalo Mganga, Kingai na wengine wengi.
Hapa tu inaonesha aidha kuna shida katika idara ya Usalama wa Taifa eneo la Mahusiano kwa Umma au Rais anapuuza makandokando yaliyopo nyuma ya anaowateua kwa maslahi yake binafsi.
Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu.
Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao ameendelea kuwakumbatia licha ya kuwa na kashfa mbaya kiuongozi.
Baadhi ya Viongozi hao ni pamoja na Makonda, Chalamila, Biswalo Mganga, Kingai na wengine wengi.
Hapa tu inaonesha aidha kuna shida katika idara ya Usalama wa Taifa eneo la Mahusiano kwa Umma au Rais anapuuza makandokando yaliyopo nyuma ya anaowateua kwa maslahi yake binafsi.
Hatari snHamuoni hata aibu kulaumu serikali? Mnalaumu serikali kwani kuna dereva ndani? Gari inatembelea neutral hii
Ni aibu sn kwa nchi yetu kukosa kitengo cha vettingNan aliekwambia bongo kunafanyika vetting kwa viongoz? Wee husikii viongoz wenyew wanalalamika kua wamesukumiwa huko na kujikuta rais!
Kwan wanataka hicho kitengo sasa 🤣Ni aibu sn kwa nchi yetu kukosa kitengo cha vetting
Wanataka makada tupuKwan wanataka hicho kitengo sasa 🤣
Ewaaaa!!Wanataka makada tupu