Ninachopinga mimi ni kuonyesha nyimbo za dini au maudhui ya dini watu wakifanya dua na kuabudu miungu ya wazungu na waarab, ni kitu cha kijinga sana.Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18.
Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu kudhibiti kabisa maudhui yanayorushwa.
Je, kuna mamlaka zinafuatilia na / ama kudhibiti hili?
Panafaa kuoneshwq video za historia, mazingira ubunifu na wanyama.. Hizo nyingine ni majangaUkiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18.
Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu kudhibiti kabisa maudhui yanayorushwa.
Je, kuna mamlaka zinafuatilia na / ama kudhibiti hili?
Lakini historia za the story book ni uongo mtupu na anti-americaPanafaa kuoneshwq video za historia, mazingira ubunifu na wanyama.. Hizo nyingine ni majanga
We unafikiri wanafunzi hawajui utupu? Ni mafundi kwenye kupiga kibaiskeliKuna siku nilikua kwenye bus. Wameweka movie inaonesha utupu wa watu halafu bus limejaa wanafunzi. Nlimwambia konda bila kupepesa mdomo wakaitoa. Muda mwingine kabla ya mamlaka tuanze sisi abiria.
Haya wewe tajiri kapande ndege kutoka Dar kwenda ChalinzeYote hayo ni umasikini tu, kwenye ndege kila mtu na TV yake
Kufanya nini??Haya wewe tajiri kapande ndege kutoka Dar kwenda Chalinze
Duh..so ni afadhali waonyeshe mizagamuano waachane na dini au sioNinachopinga mimi ni kuonyesha nyimbo za dini au maudhui ya dini watu wakifanya dua na kuabudu miungu ya wazungu na waarab, ni kitu cha kijinga sana.
Sasa hizo hamna kule kuna ukiukwaji mkubwa sana wa maadili kwa ujumla kinachoonyeshwa kwenye mabasi ni majanga ya maadiliPanafaa kuoneshwq video za historia, mazingira ubunifu na wanyama.. Hizo nyingine ni majanga
Ila video za hovyo na miziki ni sawa?Ninachopinga mimi ni kuonyesha nyimbo za dini au maudhui ya dini watu wakifanya dua na kuabudu miungu ya wazungu na waarab, ni kitu cha kijinga sana.
Story ndio imeishia hapo mkuu😁?Umenikumbusha nikiwa Zanzibar siku Moja nimepanda daladala nimekaa nyuma ya dereva Mzee flan hivi full heshima zake ila kondakta wake ni kijana sharobaro pembeni yangu kakaaa mdada wa kizanzibar full ushungi basi yule dereva akawa anataka aweke nyimbo za kawaida anatafuta flash achomeke aangalie bahati mbaya hakuiona ile flash basi kondakta akaenda kupekua pekua akaipata akampa ile kuchomeka tu kumbe ni X yule Mzee akageuka kumtizama kondakta wake ambaye alikuwa akicheka japo hakufanya maksudi mm na yule dada tukatizamanq huku tukicheka.
Hakika, naunga hoja mkonoNinachopinga mimi ni kuonyesha nyimbo za dini au maudhui ya dini watu wakifanya dua na kuabudu miungu ya wazungu na waarab, ni kitu cha kijinga sana.
Uko sahihiPanafaa kuoneshwq video za historia, mazingira ubunifu na wanyama.. Hizo nyingine ni majanga