Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

Panafaa kuoneshwq video za historia, mazingira ubunifu na wanyama.. Hizo nyingine ni majanga
Tatizo waafrika mnapenda makelele kwenye vyombo vya usafr nani kakwambia mtu akiwa ktk safr ĥatutaki kelele ya aina zozote wajifunz kwa ndege na meliboti kwa walionda nje za nchi ni mashuhuda wa hili tatiz lengn weng wa mikoan ni ushamba radio wanaisikia siku ya safar
 
Mambo mengine yanapotokea sio mpaka usubiri mamlaka, unaweza chukua hatua wewe mwenyewe binafsi kikubwa usivunje sheria za nchi.
 
Yote hayo ni umasikini tu, kwenye ndege kila mtu na TV yake
Usafiri wa ndege sio utajiri mkuu ni vile kodi na nauli zake ni za kimafia ila usafiri wa ndege ni nafuu sana kwa wenzetu.
 
Je, kuna mamlaka zinafuatilia na / ama kudhibiti hili?
Kila kitu tunalia 'mamlaka' itusaidie, kama unaona jambo haliko sawa kwenye mazingira yako likatae, shawishi wengine kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom