Mamlaka zijitahidi kuzuia wananchi wasigeuke kuwa " Wananchi wenye hasira Kali"

Usihofu hao waliokamatwa tegeta watatolewa mfano ambaye kila anaependa kula ugali mtaani atajifunza kwa kuona.

Nakwambia watachofanywa hao jamaa hakuna mtu atashambulia mtumishi wa serikali tena.
Sasa waliofanya hayo ni " Wana chi wenye hasira Kali",

Na hao hawakamatiki, kuzoa zoa wasio na hatia ni kuzidisha chuki ndani ya JAMII.

Viongozi watumie BUSARA kuongoza Si mabavu.
 
Muliro anajaribu kutisha wananchi ,kama hao wahuni wakija bila kufuata procedures wataitiwa watekaji tu...Haiwezekani Land Crusier ije kunipiga block halafu kizembe tu nisarende nope lazima nipige yowe la WATEKAJI.
Hakuna anaetishwa, trust me hao watu wa tegeta waage kabisa familia zao kama unafukiri jeshi linatania jaribu kupiga tena mtumishi wa serikali. Kuna funzo linaenda kutolewa na vizuri watanzania wanaelewa mapema sana wataelewa
 
Kweli ukizingatia Abdul Nondo pia Land cruiser ilitumika pia.
 
Sasa walioufanya hayo ni " Wana chi wenye hasira Kali",

Na hao hawakanatiki, kuzoa zoa wasio na hatia ni kuzidisha chuki ndani ya JAMII.

Viongozi watumie BUSARA kuongoza Si mababu.
Hakuna mwananchi mwenye hasira kali hao ni wahuni na as long as walifanya huo uuaji adharani basi kila mmoja atafikiwa na tapata anachostahili. Funzo linaenda kutolewa
 
Mamlaka&mfumo ndiyo unawatengeneza wananchi kuwa hivyo na watazidi kuwa makatili

Ova
Hapana mkuu wananchi wanachochewa. Ila kwenye ili watajifunza madhara ya kushambulia mtumishi wa umma. Kuna adabu itajengeka trust ukiona mtu anasema natekwa utosogeza pua yako
 
Hakuna anaetishwa, trust me hao watu wa tegeta waage kabisa familia zao kama unafukiri jeshi linatania jaribu kupiga tena mtumishi wa serikali. Kuna funzo linaenda kutolewa na vizuri watanzania wanaelewa mapema sana wataelewa

Hao bado ni watuhumiwa mkuu ,inabidi wathibitishe pasipo kuwa na shaka kama walitenda kosa ,nchi haiendeshwi kwa mihemko ya muliro , kama wahuni hawatofuata taratibu wataendelea kupewa KICHAPO cha mbwa KOKO.
 
Nachokwambia nakielewa trust me. Na usije fata mkumbo ukashambulia mtu public sababu eti mpo wengi usijaribu litakukuta la awa wajinga
 
Mamlaka&mfumo ndiyo unawatengeneza wananchi kuwa hivyo na watazidi kuwa makatili

Ova
Hao jamaa bila MIKWAJU hawana kitu ,si ulimuona jamaa yule kwenye CCTV anamkimbiza Lusako yaani dakika 0 kashatepeta naona kama alikuwa anagusa kiunoni atoe mkwaju.
 
Hatujawahi kuwa na waziri wa Mambo ya ndani ambaye ametufikisha hatua hii ya ajabu na waziri wa fedha kama huyu.Na bado waangaliwa tu.Wala hawana hofu yeyote na majibu yao yanatia ukakasi.
 
Nachokwambia nakielewa trust me. Na usije fata mkumbo ukashambulia mtu public sababu eti mpo wengi usijaribu litakukuta la awa wajinga

Mkuu najua hayo madhara ya kutenda hayo mambo kwa public ila pia sifurahishwi na hao wahuni kukamata watu pasipo kufuata PGO maana mtu atashindwa kutofautisha na watekaji.
 
Hakuna mwananchi mwenye hasira kali hao ni wahuni na as long as walifanya huo uuaji adharani basi kila mmoja atafikiwa na tapata anachostahili. Funzo linaenda kutolewa
Unatakiwa ujue kikatiba, wananchi ndio chanzo Cha mamlaka yote ya nchi.

Sasa askari ni waajiriwa wa wananchi, askari kugeuka kutesa wananchi wawalipao mishahara kinyume Cha Sheria huoni huko ni kupotoka?
 
Salaam, Shalom!!

Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka.

Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi wanachokozwa hapo.

Sasa wananchi wamefika hatua ya kutafuta namna ya kujilinda wao wenyewe ilhali KAZI ya Serikali ni kuuhakikishia umma ulinzi.

Wananchi wanapoungana Kwa nguvu ya asili Kwa hasira na visasi huitwa " Wana chi wenye hasira Kali". Hawa hawazuiliki.

Sijawahi ona au kusikia popote Duniani wananchi wenye hasira Kali wakipelekwa court, ni kama vile wao wakishahukumu inatosha. Nadhani ndio Hasa Nia ya kuzuia mikusanyiko isiyo na kibali Cha polisi Ili kuwazuia watu Hawa wasigeuke kuwa " wananchi wenye hasira Kali".

Angalizo: Wananchi wasichokozwe, HAKI itendeke Kwa wote, wasijepandwa na hasira Kisha kugeuka kuwa " Wananchi wenye hasira Kali ".

Ubarikiwe Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Haya ni mavuno ya mamlaka wamepanda, hali inatakuwa mbaya zaidi tuendako!
 
Hapana mkuu wananchi wanachochewa. Ila kwenye ili watajifunza madhara ya kushambulia mtumishi wa umma. Kuna adabu itajengeka trust ukiona mtu anasema natekwa utosogeza pua yako
Utekaji unaelekea mwisho, amini Hilo.
 
Salaam, Shalom!!

Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka.

Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi wanachokozwa hapo.

Sasa wananchi wamefika hatua ya kutafuta namna ya kujilinda wao wenyewe ilhali KAZI ya Serikali ni kuuhakikishia umma ulinzi.

Wananchi wanapoungana Kwa nguvu ya asili Kwa hasira na visasi huitwa " Wana chi wenye hasira Kali". Hawa hawazuiliki.

Sijawahi ona au kusikia popote Duniani wananchi wenye hasira Kali wakipelekwa court, ni kama vile wao wakishahukumu inatosha. Nadhani ndio Hasa Nia ya kuzuia mikusanyiko isiyo na kibali Cha polisi Ili kuwazuia watu Hawa wasigeuke kuwa " wananchi wenye hasira Kali".

Angalizo: Wananchi wasichokozwe, HAKI itendeke Kwa wote, wasijepandwa na hasira Kisha kugeuka kuwa " Wananchi wenye hasira Kali ".

Ubarikiwe Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
huenda mwenye hasira kali ni wewe pekeyako unaeandamwa na mikopo ya kausha damu kila kona ya mtaa unamoishi,

aidha,
hayupo mwanainchi mTanzania nchini, anaeweza kua na chuki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha wananchi waTanzania wote, huku akiwa anapata huduma bora na za uhakika za maji, afya, elimu, umeme, miundombinu n.k

Ni jambo la kufurahisha kwamba,
kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa waTanzania wengi zaidi ya 80% wanaipenda CCM na serikali yake sikivu,

Wanaiamini CCM, wanaikubali CCM na huo ni uthibitisho wa umoja na mshikamano wa kizalendo miongoni mwa viongozi na wananchi wote Tanzania.

Ni muhimu zaidi kujitenga na upotoshaji wenye sura ya chuki na ushirikiana 🐒
 
Hapana mkuu wananchi wanachochewa. Ila kwenye ili watajifunza madhara ya kushambulia mtumishi wa umma. Kuna adabu itajengeka trust ukiona mtu anasema natekwa utosogeza pua yako
Ukishafanya kazi kwa kuweka pesa mbele,yaani kazi kidealdeal
Lazima utakutana na dhahama kama hiyo,especially nyakati kama hizi!
Nyakati zishabadilika watu nao wameamua kubadilika
Hao TRA wangewashirikisha police wawe nao hayo yote yasingetokea...ila inaonekana tamaa na kutaka mgawo wale wenyewe ndy hayo yametokea
Mtu kapoteza uhai

Ova
 
Usihofu hao waliokamatwa tegeta watatolewa mfano ambaye kila anaependa kula ugali mtaani atajifunza kwa kuona.

Nakwambia watachofanywa hao jamaa hakuna mtu atashambulia mtumishi wa serikali tena.
Bashir Al Asad yuko wapi alikuwa hivyohivyo unavyosema now he is suffering the consequences of what he did .
 
Back
Top Bottom