Sasa waliofanya hayo ni " Wana chi wenye hasira Kali",Usihofu hao waliokamatwa tegeta watatolewa mfano ambaye kila anaependa kula ugali mtaani atajifunza kwa kuona.
Nakwambia watachofanywa hao jamaa hakuna mtu atashambulia mtumishi wa serikali tena.
Hakuna anaetishwa, trust me hao watu wa tegeta waage kabisa familia zao kama unafukiri jeshi linatania jaribu kupiga tena mtumishi wa serikali. Kuna funzo linaenda kutolewa na vizuri watanzania wanaelewa mapema sana wataelewaMuliro anajaribu kutisha wananchi ,kama hao wahuni wakija bila kufuata procedures wataitiwa watekaji tu...Haiwezekani Land Crusier ije kunipiga block halafu kizembe tu nisarende nope lazima nipige yowe la WATEKAJI.
Kweli ukizingatia Abdul Nondo pia Land cruiser ilitumika pia.Muliro anajaribu kutisha wananchi ,kama hao wahuni wakija bila kufuata procedures wataitiwa watekaji tu...Haiwezekani Land Crusier ije kunipiga block halafu kizembe tu nisarende nope lazima nipige yowe la WATEKAJI.
Hakuna mwananchi mwenye hasira kali hao ni wahuni na as long as walifanya huo uuaji adharani basi kila mmoja atafikiwa na tapata anachostahili. Funzo linaenda kutolewaSasa walioufanya hayo ni " Wana chi wenye hasira Kali",
Na hao hawakanatiki, kuzoa zoa wasio na hatia ni kuzidisha chuki ndani ya JAMII.
Viongozi watumie BUSARA kuongoza Si mababu.
Hapana mkuu wananchi wanachochewa. Ila kwenye ili watajifunza madhara ya kushambulia mtumishi wa umma. Kuna adabu itajengeka trust ukiona mtu anasema natekwa utosogeza pua yakoMamlaka&mfumo ndiyo unawatengeneza wananchi kuwa hivyo na watazidi kuwa makatili
Ova
Hakuna anaetishwa, trust me hao watu wa tegeta waage kabisa familia zao kama unafukiri jeshi linatania jaribu kupiga tena mtumishi wa serikali. Kuna funzo linaenda kutolewa na vizuri watanzania wanaelewa mapema sana wataelewa
Nachokwambia nakielewa trust me. Na usije fata mkumbo ukashambulia mtu public sababu eti mpo wengi usijaribu litakukuta la awa wajingaHao bado ni watuhumiwa mkuu ,inabidi wathibitishe pasipo kuwa na shaka kama walitenda kosa ,nchi haiendeshwi kwa mihemko ya muliro , kama wahuni hawatofuata taratibu wataendelea kupewa KICHAPO cha mbwa KOKO.
Hao jamaa bila MIKWAJU hawana kitu ,si ulimuona jamaa yule kwenye CCTV anamkimbiza Lusako yaani dakika 0 kashatepeta naona kama alikuwa anagusa kiunoni atoe mkwaju.Mamlaka&mfumo ndiyo unawatengeneza wananchi kuwa hivyo na watazidi kuwa makatili
Ova
Nachokwambia nakielewa trust me. Na usije fata mkumbo ukashambulia mtu public sababu eti mpo wengi usijaribu litakukuta la awa wajinga
Unatakiwa ujue kikatiba, wananchi ndio chanzo Cha mamlaka yote ya nchi.Hakuna mwananchi mwenye hasira kali hao ni wahuni na as long as walifanya huo uuaji adharani basi kila mmoja atafikiwa na tapata anachostahili. Funzo linaenda kutolewa
Haya ni mavuno ya mamlaka wamepanda, hali inatakuwa mbaya zaidi tuendako!Salaam, Shalom!!
Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka.
Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi wanachokozwa hapo.
Sasa wananchi wamefika hatua ya kutafuta namna ya kujilinda wao wenyewe ilhali KAZI ya Serikali ni kuuhakikishia umma ulinzi.
Wananchi wanapoungana Kwa nguvu ya asili Kwa hasira na visasi huitwa " Wana chi wenye hasira Kali". Hawa hawazuiliki.
Sijawahi ona au kusikia popote Duniani wananchi wenye hasira Kali wakipelekwa court, ni kama vile wao wakishahukumu inatosha. Nadhani ndio Hasa Nia ya kuzuia mikusanyiko isiyo na kibali Cha polisi Ili kuwazuia watu Hawa wasigeuke kuwa " wananchi wenye hasira Kali".
Angalizo: Wananchi wasichokozwe, HAKI itendeke Kwa wote, wasijepandwa na hasira Kisha kugeuka kuwa " Wananchi wenye hasira Kali ".
Ubarikiwe Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ.
Utekaji unaelekea mwisho, amini Hilo.Hapana mkuu wananchi wanachochewa. Ila kwenye ili watajifunza madhara ya kushambulia mtumishi wa umma. Kuna adabu itajengeka trust ukiona mtu anasema natekwa utosogeza pua yako
huenda mwenye hasira kali ni wewe pekeyako unaeandamwa na mikopo ya kausha damu kila kona ya mtaa unamoishi,Salaam, Shalom!!
Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka.
Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi wanachokozwa hapo.
Sasa wananchi wamefika hatua ya kutafuta namna ya kujilinda wao wenyewe ilhali KAZI ya Serikali ni kuuhakikishia umma ulinzi.
Wananchi wanapoungana Kwa nguvu ya asili Kwa hasira na visasi huitwa " Wana chi wenye hasira Kali". Hawa hawazuiliki.
Sijawahi ona au kusikia popote Duniani wananchi wenye hasira Kali wakipelekwa court, ni kama vile wao wakishahukumu inatosha. Nadhani ndio Hasa Nia ya kuzuia mikusanyiko isiyo na kibali Cha polisi Ili kuwazuia watu Hawa wasigeuke kuwa " wananchi wenye hasira Kali".
Angalizo: Wananchi wasichokozwe, HAKI itendeke Kwa wote, wasijepandwa na hasira Kisha kugeuka kuwa " Wananchi wenye hasira Kali ".
Ubarikiwe Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA ๐น๐ฟ.
Unaota ndoto za mchana, hakuna matokeo yoyote wahuni wote wanadhibitiwa.
Unaota ndoto za mchana, hakuna matokeo yoyote wahuni wote wanadhibitiwa.
Ukishafanya kazi kwa kuweka pesa mbele,yaani kazi kidealdealHapana mkuu wananchi wanachochewa. Ila kwenye ili watajifunza madhara ya kushambulia mtumishi wa umma. Kuna adabu itajengeka trust ukiona mtu anasema natekwa utosogeza pua yako
Bashir Al Asad yuko wapi alikuwa hivyohivyo unavyosema now he is suffering the consequences of what he did .Usihofu hao waliokamatwa tegeta watatolewa mfano ambaye kila anaependa kula ugali mtaani atajifunza kwa kuona.
Nakwambia watachofanywa hao jamaa hakuna mtu atashambulia mtumishi wa serikali tena.