GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi ninao watatu......hao wote sijaoa,nachapa tuu!!!Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a stab wound on the neck after Oyot's alleged attack which which is now a subject of police inquiries.
Chanzo: Daily Monitor Uganda
Yaani Mwanaume rijali kabisa utakuwaje na Mpenzi Mmoja tu duniani na Wivu Kwake hadi Kuufanya huu Upumbavu?
Mimi ndiyo Kwanza leo nina Siku ya 10 hapa Jijini Kampala Uganda lakini tayari nimeshawandua kama 8 au 9 hivi Mkuu.Mimi ninao watatu......hao wote sijaoa,nachapa tuu!!!
Unamuuliza nani sasa hili Swali lako?Hata ukiwa na wapenzi 100 Kuna yule mmoja ambaye utatokea kumpenda zaidi kuliko 99 waliobaki.
Hivi wewe huwa unadhani wanaume wanaouwaga wanawake zao hawanaga wanawake wengine?
Nakuuliza wewe ambaye unajivunia kuwa na wanawake wengi na bado unagongewa na wahuniUnamuuliza nani sasa hili Swali lako?
una hela kiasi gani za kuwapa wanawake wengi kiasi hicho kwa muda mfupi?Mimi ndiyo Kwanza leo nina Siku ya 10 hapa Jijini Kampala Uganda lakini tayari nimeshawandua kama 8 au 9 hivi Mkuu.
Yupo zake kwao Bunda vijijini au Mwanza mjini muongo huyo hayupo kampala wala nini.una hela kiasi gani za kuwapa wanawake wengi kiasi hicho kwa muda mfupi?
Tokea nimalizane tu na Mama yako Mzazi Faragha umekuwa na Hasira sana nami kwakuwa nimemuharibia Baba yako.Yupo zake kwao Bunda vijijini au Mwanza mjini muongo huyo hayupo kampala wala nini.
Badala ya kubadilosha Title ya Uzi ndiyo Umasikin wako na Ushamba wako vimepungua au? Na hivi hata Kiingereza chenyewe hujui hivyo sijui hata unachokishangilia hapa ni nini. au niweke hapa zile Screenshots zako za Kiingereza chako Kibovu ulichowahi Kukiandika hapa JamiForums uchoreke na Watu wenye Akili zao?Asanteni sana mods kwa kubadilisha title ya Uzi.
To yeye nichape malimbwata nisione mwingine ila wewe. Changanya na maji ya upako na mafuta. Na picha yangu ipelekwe kwenye maombezi. Achana na sera butu za GENTAMYCINE Mzee mwenzangu wa chimboWanakuja mkuu kukusupport
🤣🤣🤣 nimefanya mazingaombwe yote naona imeshindikana😎To yeye nichape malimbwata nisione mwingine ila wewe. Changanya na maji ya upako na mafuta. Na picha yangu ipelekwe kwenye maombezi. Achana na sera butu za GENTAMYCINE Mzee mwenzangu wa chimbo
Zipublish hizo screenshot tuzioneBadala ya kubadilosha Title ya Uzi ndiyo Umasikin wako na Ushamba wako vimepungua au? Na hivi hata Kiingereza chenyewe hujui hivyo sijui hata unachokishangilia hapa ni nini. au niweke hapa zile Screenshots zako za Kiingereza chako Kibovu ulichowahi Kukiandika hapa JamiForums uchoreke na Watu wenye Akili zao?
Pumbavu.
So that Members can Confirm how International Certified Fool and Uncircumsized Baboon you're?Zipublish hizo screenshot tuzione