Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

Kumbe hata hujui kiporo aliye nacho ni wewe, naongeza njaa tu
Njaa inakupa Arsenyeto iliyokosa ubingwa miaka na miaka. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23] mkikosa na huu mwaka mtaokota makopo wengi mtaani.
Pole zenu.

Ningewaona wa maana mngewekeza UEFA, maana team bila kuwa na ndoo ya UEFA, huna tofauti na COVENTRY.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Out of topic, epl to ucl woii nini sasa hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…