Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

Sio mbaya. Arsenal kupoteza sahivi ngumu.

Arsenal ana game nyepesi zote kwa mtazamo wa nje...

Lakini ana game na West Ham, hii game kama West Ham akikaza tako kupambana asishuke daraja inaweza ikawa ndio game inagoamua bingwa mani wa EPL...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…