Mkuu, ukweli upo hivi, EPL imeanguka sana, timu kubwa na tegemeo zimekuwa zipo ovyo sana. Man city kapata upenyo msimu huu kama alivopata upenyo Leceister city. Na ndio maana nkasema, tangu alivochukua kombe LCFC ligi ya uingereza imekuwa ipo ivyo. Usihadaike kwamba eti kafungwa mechi 2 tu kwenye ligi zote na anaongoza ligi kwa point 16 ndio ukaona eti ndio timu bora europe kwa sasa. Man city hajafikia hicho kiwango bado. Lyon alikuwa anawaongoza wenzake kwa point nyingi tu, Bayern nae ujerumani alikuwa akiwaongoza wenzake kwa point nyingi tu. lakini hazikuwa best teams in Europe.
Mkuu, Europe akikutana na huyo barcelona, ndio kaumia, na aombe asikutane na madrid mana ndio atadhalilishwa.
Man city mpira wa presha hauwezi kabisa. Beki zake ni mbovu mno, kisha unatwambia ni best team in Europe? Waulize liverpool walivoionesha dunia kuwa hawa jamaa wantandaza soka, lakini kama unaingia uwanjana kufanya attack tu, basi nyingi tu zinapenya golini mwa citeh!