Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

Umeongea vizuri mpaka hapo ulipoamua kunya kwenye sinia la ubwabwa. Eti tangu liver ilipochukua kikombe. Umesahau kuna misimu fulani timu tatu au mbili Za epl ilikuwa kuingia nusu fainali champions league ilikuwa kitu cha kawaida sana na liver walikuwa hawana chao toka 1991 mpaka sasa??
Mkuu mbona unapresha.... wapi nimesema tangu Liverpool achukue kombe? LCFC sio Liverpool, yao ni LFC.

Leceister City Football Club (LCFC).... Umeelewa?
 
Mkuu, ukweli upo hivi, EPL imeanguka sana, timu kubwa na tegemeo zimekuwa zipo ovyo sana. Man city kapata upenyo msimu huu kama alivopata upenyo Leceister city. Na ndio maana nkasema, tangu alivochukua kombe LCFC ligi ya uingereza imekuwa ipo ivyo. Usihadaike kwamba eti kafungwa mechi 2 tu kwenye ligi zote na anaongoza ligi kwa point 16 ndio ukaona eti ndio timu bora europe kwa sasa. Man city hajafikia hicho kiwango bado. Lyon alikuwa anawaongoza wenzake kwa point nyingi tu, Bayern nae ujerumani alikuwa akiwaongoza wenzake kwa point nyingi tu. lakini hazikuwa best teams in Europe.

Mkuu, Europe akikutana na huyo barcelona, ndio kaumia, na aombe asikutane na madrid mana ndio atadhalilishwa.

Man city mpira wa presha hauwezi kabisa. Beki zake ni mbovu mno, kisha unatwambia ni best team in Europe? Waulize liverpool walivoionesha dunia kuwa hawa jamaa wantandaza soka, lakini kama unaingia uwanjana kufanya attack tu, basi nyingi tu zinapenya golini mwa citeh!
hao Madrid usiwataje kabisa..hamna kitu mule..Barcelona hawezi kufanya gegen press kama klop..Barcelona wenyewe beki hakuna kitu..Bayern sijawaona siwezi wasemea..
 
Basi subiri uone atakapopangiwa na Madrid uone... Halafu kumbe Bayern hujawaona na kisha unatetea kuwa Citeh ni best team in Europe?
 
Nitatamani sana kuona Barca akipangiwa Man U UEFA.

Bwana Aleyn mara ngapi tupangiwe? Tushampiga sana tu, city nae tushampiga, arsenal ndo usiseme.hakuna tim yenye ubavu kwa Barca. Labda city kwa mbaaaali.
 
Ndio Man city wapo vyema!

Wanacheza kandanda safi na lenye kuvutia.

Mwenye Nguvu mpishee!!
 
Kuna timu itawashangaza wengi sana msimu huu kwenye Champions League.

Hamjaizungumzia sana hapa na wengi wanaipuuza. Team hii iangalieni sana kwa makini, wanaweza kutufanyia suprise ambayo hatukutarajia.

Ingaliwe Liverpool kwa jicho la pili. Tuweke ushabiki pembeni, naamini Liverpool kwa sasa wana uwezo wa kuifunga team yoyote kwenye uso wa dunia. Sio Madrid, Barca, PSG, Bayern achilia Man City ambaye mara nyingi ni kibonde wa Liverpool.

Mark my words. Tutegemee suprise kutoka kwa hawa jamaa. Nimekaa nikawaangalia tokea msimu unaanza.

Pale nyuma beki ilikua mbovu Matip na Lovren hawakuweza kutengeneza combination nzuri, wote wawili ni error prone. Usajili wa VVD umestabilize defense ya Liverpool. Hakuna tena yale makosa kama tulivyozoea kuona. Liverpool sahivi wana uwezo kidogo wa ku 'protect the lead'

Kiungo kati achana napo ila tuje kule mbele, false nine Firmino yule jamaa ni mtu mmoja fundi sana, style yake ya ku drop deep na ku hold play ku create pockets of space for Salah na Mane ndio inayoifanya Liverpool saivi inatakata.

Pia ndio beki wa kwanza wa team, jamaa anakaba mwanzo mwisho. Hivyo Liverpool hata wacheze na team gani ni rahisi sana kupata magoli sio chini ya mawili. Ibaki tu kwenye kuzuia.

Kwa hayo basi jamani nawaarifu kuwa hii team tuiangalie kwa jicho la tatu.

Mimi sio mliverpool ila ni mpenzi mmoja wa soka ambae sinaga ushabiki kwenye facts.
 
Ni kweli kabisa mkuu ila historia ya klop na fainali inaweza ikawaangusha
 
Mkuu tema mate chini, Liverpool aifunge Madrid au Barca kwenye UEFA?

Nikwambie tu kuwa HAKUNA TIMU YA EPL YA KUIFUNGA BARCA, labda kwa Madrid ambao siku hizi wanayumbamba lakini naamini tukizungumza kwenye UEFA hawezi kukuacha salama.

Mkuu zungumzia timu zingine kuzipambanisha na timu za Spain ila sio za EPL.
 
Kuna timu kama Barca ambayo mpaka sasa haijafungwa mechi yoyote kwenye ligi yake, kuna Bayern timu inayoongoza ligi kwa zaidi ya points 20.
Kwa upande wa UEFA ni kugumu, hauwezi kusema Barca au Madrid tu ndio wanaoweza kumzuia Man City wakati kuna timu kama Liverpool, Man United, Totenham ambao kila siku wanatoana jasho kwenye ligi.
Man u anatolewa na sevilla
 
Back
Top Bottom