Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
sio ali choki tu, mm nimesmsikiamo hadi Khalid Chokoraa...nikasema tchaaaa, kweli cku ya kufa nyani miti yote huvungawe mziki gani ndani tunaskia kabisa sauti za kina alichoki wanaitikia......aaarrrggghhh
ndo kazi yake kushinda mtandaoni. unasemaje?Fanya kazi kijana.
ww nae mipasho ya nn kama nisio kukoswa kazi...acha unafiki, ww ndo unaonesha dalili za ushogaWanaume kuhangaikiaa na kubishana kwa sababu ya shibe ya mwanaume mwenzake huwa simuelewi kabisa, yaan asubuh yote hii na kengele zako mbili mninginio unakaa una mdiscuss mtu ambaye huwez kuishi maisha yake hata nusu ?yaan wanaume wa siku hizi mmekuwa wafatiliaji wa mambo kuliko hata sisi dadazenu.....
Kama kuna mwanamke shogaa sawa i will the be first and the last one on earth.......stay on ur lane biiisssh hatred iss new form of slavery mwanaum huwez amka na kuandika vitu kama hivyo badala ya kuwaza pesaaaww nae mipasho ya nn kama nisio kukoswa kazi...acha unafiki, ww ndo unaonesha dalili za ushoga
kwann niwaze pesa wakati naamka nazo? mkuu usifikire kwa tumbo, tumia kichwa hicho kikubwa kilichoshikiliwa na shingo.Kama kuna mwanamke shogaa sawa i will the be first and the last one on earth.......stay on ur lane biiisssh hatred iss new form of slavery mwanaum huwez amka na kuandika vitu kama hivyo badala ya kuwaza pesaaa
aaarrghh sio siri...Man wota anapumulia mpira...kutwa ni kukopi pesti midundo ile ile, hataki kuichosha akili, amtokeo yake ana-ruin brand za watu kama Ali Kiba. apumzike
sio uwongo mkuu....ile beat ni kwa watu kama bellaKuna mtu angepewa ile bit ingebamba sana kiba hajaitendea haki. Bit na back vocal ziko poa tatizo haikumfaa kiba na utunzi na uimbaji wake haukuendana kabisa na ile bit. Bit ni ya mtu kama Bella
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaahh mpka hapa yangu imeenda poa kwa kucheka tusio ali choki tu, mm nimesmsikiamo hadi Khalid Chokoraa...nikasema tchaaaa, kweli cku ya kufa nyani miti yote huvunga
unaitwa le koko banga le tutu bamba...yaani ni wa kikongo kongo hvhuo wimbo unaitwaje tafadhali....?
Mvumo wa radi..huo wimbo unaitwaje tafadhali....?
sawa....Mvumo wa radi..
Ucheki youtube ..nadhani utaupenda tu mkuu.
oh, sawa!unaitwa le koko banga le tutu bamba...yaani ni wa kikongo kongo hv
Cheketua imetengenezwa na abbdady..Watu wengine bhana[emoji52]
Oya MAN WALTER.....kama umeshindwa kabisa kumpigia mshkaji mziki wa bongo fleva mwache bhana....sio lazma jina lako liinuke tena kupitia yeye.
Tangu kipindi kile cha "Mwana" mi nilikua nakuzoom tu zile beat zako zakumkimbiza kimbiza mshkaji......ukaja ukamtengenezea "Chekecha chekechua" yani mwendo ni ule ule tu kumlazimisha jamaa kukata mauno.
Tukapumzika kidogo baada ya jamaa kwenda kwa ABBY DADY na kutupa bonge la ngoma ile "AJE" yani ikawa ni full burudani palee.........
Sasa nae alivompuuzi akarudi kwako ukamtengenezea "SEDUCE ME"....Sio siri ile ngoma tuliipokea lkn kwa mashaka kinomaa.......yan tumeisukuma sukuma tu kimazabe mazabe but kwa uzuri ilizidiwa hata na "CINDERELA"
Sasa sa hv ndo kabisaaaaaa yani umetuletea huu ushuzi wa radi mtaani ya mpka umeboaa yani........yani mwanangu umemtoa mshikaj kwnye bongo fleva umemleta huku kwenye bolingo yani akae sasa meza moja na kina "Nyoshi el sadaati"
NYIMBO MBAYA YANI MBAYA KABISA MWANANGU...........!!!! Yani sasa alikiba anafunikwa hadi na wakina Amber lulu na wakina Whozhu.
WE MAN WALTER KUANZIA LEO NAOMBA UWE MZALENDO WA MZIKI WA ALIKIBA.......MWACHE JAMAA AKAFANYE KAZI NA CURRENT PRODUCERS...WEW USHAPITWA NA WAKATI BHANA.
Lilinikaba sana kooni hili....leo nimelitoa[emoji58]