Man Walter umenikwaza sana, leo sikuachi

Man Walter umenikwaza sana, leo sikuachi

Wanaume kuhangaikiaa na kubishana kwa sababu ya shibe ya mwanaume mwenzake huwa simuelewi kabisa, yaan asubuh yote hii na kengele zako mbili mninginio unakaa una mdiscuss mtu ambaye huwez kuishi maisha yake hata nusu ?yaan wanaume wa siku hizi mmekuwa wafatiliaji wa mambo kuliko hata sisi dadazenu.....
ww nae mipasho ya nn kama nisio kukoswa kazi...acha unafiki, ww ndo unaonesha dalili za ushoga
 
ww nae mipasho ya nn kama nisio kukoswa kazi...acha unafiki, ww ndo unaonesha dalili za ushoga
Kama kuna mwanamke shogaa sawa i will the be first and the last one on earth.......stay on ur lane biiisssh hatred iss new form of slavery mwanaum huwez amka na kuandika vitu kama hivyo badala ya kuwaza pesaaa
 
Kama kuna mwanamke shogaa sawa i will the be first and the last one on earth.......stay on ur lane biiisssh hatred iss new form of slavery mwanaum huwez amka na kuandika vitu kama hivyo badala ya kuwaza pesaaa
kwann niwaze pesa wakati naamka nazo? mkuu usifikire kwa tumbo, tumia kichwa hicho kikubwa kilichoshikiliwa na shingo.
 
Kijana atafute shughuli nyingine ila akiendelea atadhalilika uko mbele.

Man maji sio wa kulaumiwa kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana bhana abadirishe tu producer na mambl yote yatakua sawa
 
Man wota anapumulia mpira...kutwa ni kukopi pesti midundo ile ile, hataki kuichosha akili, amtokeo yake ana-ruin brand za watu kama Ali Kiba. apumzike
aaarrghh sio siri...
mi sio team kiba but sijafurahishwa kabisa na ile ngoma kumpatia mtu kama kiba
 
Kuna mtu angepewa ile bit ingebamba sana kiba hajaitendea haki. Bit na back vocal ziko poa tatizo haikumfaa kiba na utunzi na uimbaji wake haukuendana kabisa na ile bit. Bit ni ya mtu kama Bella
sio uwongo mkuu....ile beat ni kwa watu kama bella
 
sio ali choki tu, mm nimesmsikiamo hadi Khalid Chokoraa...nikasema tchaaaa, kweli cku ya kufa nyani miti yote huvunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaahh mpka hapa yangu imeenda poa kwa kucheka tu
 
Hapo ndiyo uwezo wake ulipoishia ...

Alafu mwanzo wa nyimbo anapenda sana kuanza kuimba neno ...Hiyoooooo....!!!.
Hii inaharibu muziki wake..

Ajitahid kuboresha kazi zake..
 
Kila mtu na ladha zake .. mbona hamkulaumu mondi kipindi kile anchanganya ladha mara mduara mara mdogomdogo mara anarap nk. Kwa hiyo msipende kukaririshwa mtindo mmoja kila mwaka.. Kiba kafanya vizuri sana.
 
Kukosa zile hitilafu pale juzi leo nyimbo ingekuwa inachungulia 3milioni by the way mtoa uzi una haki kisheria kupenda unachotaka na kutokipenda usichokitaka..
 
Watu wengine bhana[emoji52]

Oya MAN WALTER.....kama umeshindwa kabisa kumpigia mshkaji mziki wa bongo fleva mwache bhana....sio lazma jina lako liinuke tena kupitia yeye.

Tangu kipindi kile cha "Mwana" mi nilikua nakuzoom tu zile beat zako zakumkimbiza kimbiza mshkaji......ukaja ukamtengenezea "Chekecha chekechua" yani mwendo ni ule ule tu kumlazimisha jamaa kukata mauno.

Tukapumzika kidogo baada ya jamaa kwenda kwa ABBY DADY na kutupa bonge la ngoma ile "AJE" yani ikawa ni full burudani palee.........
Sasa nae alivompuuzi akarudi kwako ukamtengenezea "SEDUCE ME"....Sio siri ile ngoma tuliipokea lkn kwa mashaka kinomaa.......yan tumeisukuma sukuma tu kimazabe mazabe but kwa uzuri ilizidiwa hata na "CINDERELA"

Sasa sa hv ndo kabisaaaaaa yani umetuletea huu ushuzi wa radi mtaani ya mpka umeboaa yani........yani mwanangu umemtoa mshikaj kwnye bongo fleva umemleta huku kwenye bolingo yani akae sasa meza moja na kina "Nyoshi el sadaati"
NYIMBO MBAYA YANI MBAYA KABISA MWANANGU...........!!!! Yani sasa alikiba anafunikwa hadi na wakina Amber lulu na wakina Whozhu.

WE MAN WALTER KUANZIA LEO NAOMBA UWE MZALENDO WA MZIKI WA ALIKIBA.......MWACHE JAMAA AKAFANYE KAZI NA CURRENT PRODUCERS...WEW USHAPITWA NA WAKATI BHANA.

Lilinikaba sana kooni hili....leo nimelitoa[emoji58]
Cheketua imetengenezwa na abbdady..
 
Back
Top Bottom