Man Walter umenikwaza sana, leo sikuachi

Kila mtu na ladha zake .. mbona hamkulaumu mondi kipindi kile anchanganya ladha mara mduara mara mdogomdogo mara anarap nk. Kwa hiyo msipende kukaririshwa mtindo mmoja kila mwaka.. Kiba kafanya vizuri sana.
ilikua inakua tam
 
Kukosa zile hitilafu pale juzi leo nyimbo ingekuwa inachungulia 3milioni by the way mtoa uzi una haki kisheria kupenda unachotaka na kutokipenda usichokitaka..
word
 
Wakati hayo yanaendelea
 

Attachments

  • IMG-20180515-WA0028.jpeg
    53.8 KB · Views: 29
Hivi msanii anatakiwa kuwa na idea yake kwanza ili itengenezewe beat au beat inamuamilia mziki wake ukoje!!??

Kama ni hivyo basi usanii wetu ni wakisanii sana. Tutakuwa na mapungufu kuliko ubunifu.

Halafu madhani hili tatizo la kutokuwa na plan ya mziki wako uwe na mahadhi gani kila unapotoa. Unajikuta na wazo usiku,......asubuhi studio.

NAMKUBALI ALIKIBA LAKINI KWA HILI SIKO NAWE PAMOJA.
 
yani kwa siku hz......ni world wide.....msanii anakuta beat ndo analifanyia kazi.....wanaotoka na nyimbo zao nyumbn ni wale Undergeounds tu lkn wasanii wakubwa wanategemea beat
 
yani kwa siku hz......ni word wide.....msanii anakuta beat ndo analifanyia kazi.....wanaotoka na nyimbo zao nyumbn ni wale Undergeounds tu lkn wasanii wakubwa wanategemea beat
Unamaanisha ukiwa underground unatumia kipaji,ukishafanikiwa unaanza kubahatisha!!!

Kazi kweli kweli
 
 
Unamaanisha ukiwa underground unatumia kipaji,ukishafanikiwa unaanza kubahatisha!!!

Kazi kweli kweli
hayo mengine sijui kama ni kubahatisha au lah.....but ndo hvo wasanii wanakuja studio kuskiliza beat.....
 
Team WACHAFU kuwajua ni rahisi sana....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umempa za uso
 
Bado ana nafasi 3,Amina akiridhia lakini........
 
Hivi mkewe ndo kachagua hilo jina la.wimbo au meneja ??? Ingekuwa sehemu fulani hivi angeambiwa your title does not inform your objectives hahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…