Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa.... jina refu, je linasadiki maudhui ya wimbo?Mvumo wa radi
yani kwa siku hz......ni world wide.....msanii anakuta beat ndo analifanyia kazi.....wanaotoka na nyimbo zao nyumbn ni wale Undergeounds tu lkn wasanii wakubwa wanategemea beatHivi msanii anatakiwa kuwa na idea yake kwanza ili itengenezewe beat au beat inamuamilia mziki wake ukoje!!??
Kama ni hivyo basi usanii wetu ni wakisanii sana. Tutakuwa na mapungufu kuliko ubunifu.
Halafu madhani hili tatizo la kutokuwa na plan ya mziki wako uwe na mahadhi gani kila unapotoa. Unajikuta na wazo usiku,......asubuhi studio.
NAMKUBALI ALIKIBA LAKINI KWA HILI SIKO NAWE PAMOJA.
Unamaanisha ukiwa underground unatumia kipaji,ukishafanikiwa unaanza kubahatisha!!!yani kwa siku hz......ni word wide.....msanii anakuta beat ndo analifanyia kazi.....wanaotoka na nyimbo zao nyumbn ni wale Undergeounds tu lkn wasanii wakubwa wanategemea beat
Watu wengine bhana[emoji52]
Oya MAN WALTER.....kama umeshindwa kabisa kumpigia mshkaji mziki wa bongo fleva mwache bhana....sio lazma jina lako liinuke tena kupitia yeye.
Tangu kipindi kile cha "Mwana" mi nilikua nakuzoom tu zile beat zako zakumkimbiza kimbiza mshkaji......ukaja ukamtengenezea "Chekecha chekechua" yani mwendo ni ule ule tu kumlazimisha jamaa kukata mauno.
Tukapumzika kidogo baada ya jamaa kwenda kwa ABBY DADY na kutupa bonge la ngoma ile "AJE" yani ikawa ni full burudani palee.........
Sasa nae alivompuuzi akarudi kwako ukamtengenezea "SEDUCE ME"....Sio siri ile ngoma tuliipokea lkn kwa mashaka kinomaa.......yan tumeisukuma sukuma tu kimazabe mazabe but kwa uzuri ilizidiwa hata na "CINDERELA"
Sasa sa hv ndo kabisaaaaaa yani umetuletea huu ushuzi wa radi mtaani ya mpka umeboaa yani........yani mwanangu umemtoa mshikaj kwnye bongo fleva umemleta huku kwenye bolingo yani akae sasa meza moja na kina "Nyoshi el sadaati"
NYIMBO MBAYA YANI MBAYA KABISA MWANANGU...........!!!! Yani sasa alikiba anafunikwa hadi na wakina Amber lulu na wakina Whozhu.
WE MAN WALTER KUANZIA LEO NAOMBA UWE MZALENDO WA MZIKI WA ALIKIBA.......MWACHE JAMAA AKAFANYE KAZI NA CURRENT PRODUCERS...WEW USHAPITWA NA WAKATI BHANA.
Lilinikaba sana kooni hili....leo nimelitoa[emoji58]
Poa King.hayo mengine sijui kama ni kubahatisha au lah.....but ndo hvo wasanii wanakuja studio kuskiliza beat.....
Team WACHAFU kuwajua ni rahisi sana....Watu wengine bhana[emoji52]
Oya MAN WALTER.....kama umeshindwa kabisa kumpigia mshkaji mziki wa bongo fleva mwache bhana....sio lazma jina lako liinuke tena kupitia yeye.
Tangu kipindi kile cha "Mwana" mi nilikua nakuzoom tu zile beat zako zakumkimbiza kimbiza mshkaji......ukaja ukamtengenezea "Chekecha chekechua" yani mwendo ni ule ule tu kumlazimisha jamaa kukata mauno.
Tukapumzika kidogo baada ya jamaa kwenda kwa ABBY DADY na kutupa bonge la ngoma ile "AJE" yani ikawa ni full burudani palee.........
Sasa nae alivompuuzi akarudi kwako ukamtengenezea "SEDUCE ME"....Sio siri ile ngoma tuliipokea lkn kwa mashaka kinomaa.......yan tumeisukuma sukuma tu kimazabe mazabe but kwa uzuri ilizidiwa hata na "CINDERELA"
Sasa sa hv ndo kabisaaaaaa yani umetuletea huu ushuzi wa radi mtaani ya mpka umeboaa yani........yani mwanangu umemtoa mshikaj kwnye bongo fleva umemleta huku kwenye bolingo yani akae sasa meza moja na kina "Nyoshi el sadaati"
NYIMBO MBAYA YANI MBAYA KABISA MWANANGU...........!!!! Yani sasa alikiba anafunikwa hadi na wakina Amber lulu na wakina Whozhu.
WE MAN WALTER KUANZIA LEO NAOMBA UWE MZALENDO WA MZIKI WA ALIKIBA.......MWACHE JAMAA AKAFANYE KAZI NA CURRENT PRODUCERS...WEW USHAPITWA NA WAKATI BHANA.
Lilinikaba sana kooni hili....leo nimelitoa[emoji58]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume kuhangaikiaa na kubishana kwa sababu ya shibe ya mwanaume mwenzake huwa simuelewi kabisa, yaan asubuh yote hii na kengele zako mbili mninginio unakaa una mdiscuss mtu ambaye huwez kuishi maisha yake hata nusu ?yaan wanaume wa siku hizi mmekuwa wafatiliaji wa mambo kuliko hata sisi dadazenu.....