Manabii wanapingwa sana ila alichokifanya nabii Clear Malisa ni kitendo cha kishujaa.

Manabii au wavuta bangi..??
 
Muathirika wa mafundisho potofu huyu hapa.

Hata biblia hujui mnabugizwa matango pori tu.

Kuna tofauti kubwa ya mtu kuitwa nabii na unabii.
1. Unaweza kutoa unabii na usiwe nabii.

Rejea Sauli alipotoka kupakwa mafuta na Samweli, alipofika njiani, alikutana na wana wa manabii...akatabiri lakini hakuwa nabii.

2. Kibiblia ili uitwe nabii sio mafundisho, sio kutabiri wala sio kuponya bali ni suala la muda...utabiri mambo na yatokee..
MALISA WAKO ametabiri nini kimkoa, kitaifa au kijamii kikatukia?

3. Kuna kitu kinaitwa neno la maarifa, kinaweza kufanana na unabii lkn sio.

Hii ikoje?
Inatokea unapokuwa unahubiri au kuombea...utahisi hali ya mtu mwenye tatizo...mfano kuumwa kichwa sana upande mmoja.

Ndio maana kanisanisani utasikia mchungaji anasema...kuna mtu anaumwa na kichwa upande wa kushoto na kweli anatokea.

Huu sio unabii bali neno la maarifa.

Huwezi kunielewa ewe kipofu wa rohoni.

Mtatumikishwa na manabii fake hadi mchakae.
Note: utajiri haupatikani kwa maombi wala unabii...ingekuwa hivyo tungekuwa na mabilionea Tanzania.

binti kiziwi
 
Huu ni wakati wa sisi ngozi nyeusi kutoa manabii, mitume , makuhani , matowashi .

Sio kila kitu mashariki ya kati , inabidi tupate waandishi watakao zunguka na hawa manabii kila wanachokisema waandike .

Baadae tuje tupate waraka wa gwaj boy kwa wanyakyusa, wahaya na nk
 
WAnakuja na vitisho na viufunuo fake.
 
Mtawatambua kwa matendo yao
 
Nabii Bongo,acha uhuni kutaka kuwaibia wajinga KENGE wewe,Nabii wa Matako
 
Nikiona shosti anaamini huu ujinga na urafiki wetu unaishiaga hapo.

Kuna mama nilikutana naye njiani, yeye yuko kwa mguu na binti yake wanarudi nyumbani saa moja jioni wametoka kwa Mwamposa. Hana nauli na hela ya mboga aliyopaswa kununulia kwa ajili ya chakula cha jioni cha familia yake (aliondoka kwa kuaga anaenda sokoni) kaitoa sadaka. Unamsaidiaje mama kama huyu?

Wanafanya mind control halafu wanaanza kuhamisha kipato cha familia kupitia mjinga hata mmoja tu atakayefall victim. Mimi ni Mkristo lakini wa dhehebu linalojitambua na hatuungi mkono huu ujinga.
 


Upumbavu Kabisa, kati ya mambo ya Kipumbavu ni watu kuendekeza mambo ya Kijinga ya ushenzy ya unabii fake na kuacha swala la msingi la kuishi maisha matakatifu utakatifu.....

Speaking of proffesional, high level of Bullshit, here u go!
 
Kitu gani kakifanya,kitaje.
Kenge wewe
 
Nabii kazi yake zamani ilikuwa kutoa habari za mambo yatakayotokea baadae ili watu wajiandae mapema au kuwaambia watu maono aliyofunuliwa na Mungu iwe maonyo au n.k

Ila kwa sasa ....
 
Ukombozi wa fikra ni kikwazo kikuu Africa.
 
Kweli mkuu,

Mimi toka nikiwa mdogo nilikua na kipaji cha kuona mambo nikisema jambo huwa linakuwa.

Ndoto pia, nikiota , Inakuja hivyo hivyo.

Ila sijawahi jiita mtabiri wala nabii.

But nikikwambia jambo huwa ndio lenyewe ni karama tu Mungu anatugawia lakini hatupaswi kujivunia na kuanza kuvimba nazo.

Inapaswa kumpa Mungu utukufu yeye pekee.
 
Lengo la ujio wao ni nini Mkuu?
 

Upupu mtupu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…