Manabii wanapingwa sana ila alichokifanya nabii Clear Malisa ni kitendo cha kishujaa.

Matapeli wanateteana....tushawagundua.
 

Sawa nabii Lovy tumekusikia. Ila siku nyingine lipia tangazo.
 
Mimi ni Christian wakristu wengi wamesoma kuliko Waislam. Lakini wakristo wengi ni wajinga kuliko waislam. Kweli anakuja binadamu mwenzio (Malisa) anakwambia amemmfufua mama yake mara tatu. Na mijinga ipo humo humo kanisani inaamini!?

Nani aliamini?. Aliyeamini ni kanisa la Malisa au Wakristo wote?. Usipende generalization.
 
Inashangaza sana kuona hofu yako inapogeuka kuwa mtaji kwa mtu mwingine.
 
Kwa hiyo mkuu punde tutakua na hekau tuwaalike wayudi watemane na yerusalem yao wawaachie wapalestina na hamasi yao wajimwae mwae.kweli hii kali na kiboko yake ila na wapestina nao wakitaka bongo iwe pia yerusalemu yao ya msikiti wa al aqsa itakuaje
Hapo sasa vita ndo tuta inunua Wa Tz
 
Kuongozwa na hisia na pendeleo binafsi ni janga jingine, trust me Mungu hayupo tulivyo Mwizi msalabani alionesha ushahidi tosha.
 
Inaonekana umesoma lkn elimu Yako hajakusaidia Kwa lolote.
Au basi wewe ni maliza mwenyewe tapeli kama tapeli wengine.

Uzi lako linatia kichefuchefu sijasoma Hadi mwisho uharo mtupu.
 
Unaweza kuonyesha huo ushujaa wake mkuu? Kumfufua mama yake mara tatu ama? Tena wakati mwingine mamake anafariki akiwa peke yake halafu anampigia simu mtoto wake anakuja kumfufua ama?
 
Mimi ni Christian wakristu wengi wamesoma kuliko Waislam. Lakini wakristo wengi ni wajinga kuliko waislam. Kweli anakuja binadamu mwenzio (Malisa) anakwambia amemmfufua mama yake mara tatu. Na mijinga ipo humo humo kanisani inaamini!?
Kuna baadhi ya watu hata unashindwa kuelewa uwezo wao wa kufikiri upo vipi.

Na hakuna biashara unayolipa Tanzania kama biashara ya injili ya miujiza. Ujinga ni mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…