Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea.
Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha hadharani usaliti aliokuwa anafanya. Unajua siku zote ukisingiziwa kama huhusiki haikuumi, Manara alilia machozi kama mwanamke mpya aliyeachwa kwenye mapenzi. Leo anatangaza tamasha la wananchi.
Sasa hivi Yanga wanajisifu kumpokea siku ya mwananchi, uongozi wa Simba uko imara kumjua anayehujumu, mnafki na mzalendo.
Big up management ya Simba.
Wakuu hii ilikuwa thread kabla na yametia.