Manara alikuwa jipu Simba, ukweli umejitenga

Manara alikuwa jipu Simba, ukweli umejitenga

Nimemuona insta akimposti kofii olomide akitangaza yangadei, kibwagizo cha hao ndio wananini??
 
Tulichowafanya ni kuwakera tu,manara hajawahi kuwasaliti mikia la sivyo msingepata mafanikio yote yale kwa miaka 4,sasa hivi sasa ndio atawasaliti akiwa nje ya mikia maana Yanga mwaka huu atuachi kitu,karibu Yanga afrika manara tuje kuwakera mikia [emoji2957][emoji1787]
Hawezi tena Yuko nje ya mfumo
 
Siku za mnafki huwa ni chache sana hatimae mnafki kajitanabahisha yeye mwenyewe.
Acheni watu wapambanie familia zao,watu wanatafuta pesa,heshimuni maamuzi ya mtu,ile ni kazi kama kazi yako.Hisia kando.Atatoka Yanga ataenda Azam yote ni katika kutafuta mkate wa kila siku.
 
Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea.

Uongozi wa Simba sio wajinga, Leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha hadharani usaliti aliokuwa anafanya . Unajua siku zote ukisingiziwa kama huhusiki haikuumi, Manara alilia machozi kama mwanamke mpya aliyeachwa kwenye mapenzi. Leo anatangaza tamasha la wananchi.

Sasa hivi Yanga wanajisifu kumpokea siku ya mwananchi,uongozi wa Simba uko imara kumjua anayehujumu ,mnafki na mzalendo.

Big up management ya Simba .
Ccm ndiyo iliharibu akili ya Manara, the guy was so brilliant and faithful to the club.
 
Acheni watu wapambanie familia zao,watu wanatafuta pesa,heshimuni maamuzi ya mtu,ile ni kazi kama kazi yako.Hisia kando.Atatoka Yanga ataenda Azam yote ni katika kutafuta mkate wa kila siku.
Safi sana,Haji anapambania maslahi ya familia yake ndo maana mpaka likua akijipeleka kambi ya Yanga kigamboni kuvujisha mipango ya Simba wakati akiwa msemaji wa Simba,pesa za gsm ndo zilimpeleka huko kuuza siri za Simba akuna kingine.
sasa kadhihirisha usaliti wake wa muda mrefu akiwa Simba.namtakia kila heri kwenye kupiga pesa za huko Yanga alipokwenda.
 
Mkuu huu uzi niliweka kabla ya mda naona yametimia,Hawa wanategemea manara sisi tunaangalia uwanjani,najua atakuja kuchamba but Simba wameshatoka hizo level
 
Manara anatumika tu. Vita iliopo ni ya kibiashara. Naiona vita ya GSM na MO Naiona Vita ya AZAM GROUP na AzANIA GROUP. Ni kipindi kigum sana kwa MO ila atavuka
 
Manara anatumika tu. Vita iliopo ni ya kibiashara. Naiona vita ya GSM na MO Naiona Vita ya AZAM GROUP na AzANIA GROUP. Ni kipindi kigum sana kwa MO ila atavuka
GSM na MO haamna ,atawazingua GSM na azam
 
Bado inawauma tu mpaka leo jamaa kuondoka, kama ukiachwa achikeni basii siio mnamkumbukakumbuka tu, sioni la maana unaloandika ni upupu tu
Talaka ya hasira na DDC Mlimani Park Orchestra
 
Back
Top Bottom