Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Tulichowafanya ni kuwakera tu,manara hajawahi kuwasaliti mikia la sivyo msingepata mafanikio yote yale kwa miaka 4,sasa hivi sasa ndio atawasaliti akiwa nje ya mikia maana Yanga mwaka huu atuachi kitu,karibu Yanga afrika manara tuje kuwakera mikia [emoji2957][emoji1787]
Uzuri Sept 25 tu hapa tunaanzia tulupoishia,mtaparurana vizuri sana,na wakati huo mtakuwa tayari mmeshatolewa hata CL.