Huko nyuma hakuwa balozi wa bharesa?Anaipigia chapuo azam
AlitingwaHuko nyuma hakuwa balozi wa bharesa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alitingwa
Mkuu umeleewa nilichomuuliza mtoa comment?Mkuu Sasa hivi utamwona ni balozi wa nani
Kigogo alisema kuna mzee huko ilala sijui alimfanya nini wakati anataka kugombea udiwani 1995 somebody mzee TOZIManara alianza ujinga alipokuwa CCM
Mkuu Utopolo mnafanya Mambo kama wazee wa analogy, kila mwaka mnafanya kama mnakomoa Simba, Senzo mlimchukua mkasema ana mafaili sembuse huyu mwajuma ndala ndefu alikuwa analala kwenye makochi sebuleni.Bado inawauma tu mpaka leo jamaa kuondoka, kama ukiachwa achikeni basii siio mnamkumbukakumbuka tu, sioni la maana unaloandika ni upupu tu
MulemuleNi Kama ishu za mirinda nyeusi sikumbuki
Kwani imewauma eeeh?Siku za mnafki huwa ni chache sana.atimae mnafki kajitanabahisha yeye mwenyewe.
Mkuu hapo haji manara anachofanya ni kuhamasisha watu wanunue ving'amuzi na kulipia vifurushi.Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea.
Uongozi wa Simba sio wajinga, Leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha hadharani usaliti aliokuwa anafanya . Unajua siku zote ukisingiziwa kama huhusiki haikuumi, Manara alilia machozi kama mwanamke mpya aliyeachwa kwenye mapenzi. Leo anatangaza tamasha la wananchi.
Sasa hivi Yanga wanajisifu kumpokea siku ya mwananchi,uongozi wa Simba uko imara kumjua anayehujumu ,mnafki na mzalendo.
Big up management ya Simba .