Manara alikuwa jipu Simba, ukweli umejitenga

Tulichowafanya ni kuwakera tu,manara hajawahi kuwasaliti mikia la sivyo msingepata mafanikio yote yale kwa miaka 4,sasa hivi sasa ndio atawasaliti akiwa nje ya mikia maana Yanga mwaka huu atuachi kitu,karibu Yanga afrika manara tuje kuwakera mikia 🤪🤣
 
Fanyeni vurugu zote ila chondechonde kwa Konde boy msitufanyie umafia mtani.
 
Eeh soon wataona Gap! Sahizi bogi la wale shabiki mandazi tutahamia Yanga na utashangaa Yanga inaanza kufanikiwa kwa zile hamasa😅
Siku na wanigeria kwa mkapa patajaa pale na wanigeria watavurugikiwa na lile nyomi watapigwa hata 5 pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…