Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA.
Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo na ndg Motsepe.
Baki hapa hapa kujua kipi kitajiri.
Nasikia Mzee Tozi wa bandarini atamsindikiza
Umenikumbusha ile mechi ya yanga kimataifa last season anawaambia wachezaji wa yanga
Am teething [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nahisi atamwambia....
"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadji Hayui Itifaki Za Viongozi, Humuoni Tu Kama Campaign Ya UchaguziHahahaa huyu kifutu wa kariakoo anadhani ni rahisi kihivyo kisa kamuona Karia yuko nae, Karia ni taasisi mpe heshima yake hata kama ana mapungufu yake.
Ona sasa ili angalau akusikilize mpaka Karia akuombee appointment na hiyo ni baada ya kumueleza shida yako akaona ina mashiko. Kama jambo lako ni la kitaasisi mueleze Karia atalifikisha.
Ndugu darcity una kipaji kikubwa sana lakini sijui ni cha nini.Nahisi atamwambia....
"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]kumbe we Humjui msaga sumuuNa kwa roho yake mbaya anaweza kujaribu kuzuia....
Lakini kama anaweza kumfikia Rais wa CAF basi ni rahisi kumfikia Rais wa FIFA kupitia kwa Rais wa CAF bila kupitia TFF.
Wewe ni mtanzania wa hovyo sana.😀😀😀Nahisi atamwambia....
"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."
😂😂😂
Mfungwa hawezi kuongea na bosi wa soka! Karia hatamruhusu!Mpaka Karia aruhusu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji28]
Dah yaani hii ni kama ile "Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada da bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.Nahisi atamwambia....
"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."
😂😂😂
Manara mnafiki sana, yaani yupo kinafiki nafikiWakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA.
Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo na ndg Motsepe.
Baki hapa hapa kujua kipi kitajiri.
Daaaah mwamba hahahahaNahisi atamwambia....
"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."
[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe unahoji kama nani?Ukisikia watu kukosa Akali ndiko huku sasa anaomba kuongea na rais wa FIFA yeye kama nani katika soka
Nakula tafadhali nisije paliwa [emoji3][emoji3][emoji3]Nahisi atamwambia....
"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."
[emoji23][emoji23][emoji23]
Waacheni wamchekee hawajui huyu NI mirembe day, halafu najiuliza nikweli mzee Manara ameshindwa kuongea na mwanae? Mbona anaitia aibu familia iliyoheshimika kwa miaka mingi katika mpira wa miguu. Haya ndio matekeo wa kudekeza akina Junior, hata wakikua hawabadiliki na inakuwa ngumu kuwaweka vizuri ki tabiaUkisikia watu kukosa Akali ndiko huku sasa anaomba kuongea na rais wa FIFA yeye kama nani katika soka
Hashindwi [emoji3][emoji3][emoji3]Baada ya hiyo meeting (kama ikifanikiwa)
Tusubiri kuona Manara (mzee wa kuharibu) akiomba msamaha kwa Infantino
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we fala sanaNahisi atamwambia....
"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."
😂😂😂
Wenyewe yanga hawajitambui, usikute ujinga anaoufanya una baraka za uongozi wa YanfaKuendelea kucheka na mtu kama Manara ni kuendelea kuiingiza Yanga kama taasisi matatizoni.
Hicho ulichoandika [emoji867] kinahusiana na Manara?#UCHAGUZIKENYA: Zoezi la kuhesabu kura linaendelea ambapo hadi kufikia Saa 02:32 Mchana, Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amejikusanyia kura 1,890,299 sawa na 49.58% huku Mgombea wa UDA, Naibu Rais William Ruto akiwa na kura 1,868,853 sawa na 49.02%
#ITVUchaguziKenyaUpdates