Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

Raia wa leo, mfungwa wa Kesho.

Wakina Boni Yai, Sugu, Lema nk wameishi Magereza fresh tu.

Huyu bwana sio tu amewadharau Askari Magereza, amewadharau na wafungwa pia.
Kabisa sijui kwanini wanamuacha angesota mahakamani kwa mwakab nahisi angejifunza
 

View: https://youtu.be/yb-hC6suofc?si=kI9uE3IMw8NYkp_c

Huyu wana mchekea wangemchukulia sheria.

Kuwa albino isiwe sababu ya yeye kutukana watu kwa kivuli cha ulemavu yeye sio albino wa kwaza

Pia Soma: Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Ili huyu ndugu awe na adabu kwa kila mtu, kila taasisi tia ndani, kwa muda mfikishe mahabusu Segerea akaone tofauti ya Maafisa Magereza na Wafungwa. Kuomba radhi sasa hivi amechelewa. Tunataka kumuona Haji Manara aliyebadilika . Kila kitu anajiona yeye ni super star, mjinga mkubwa.
 
Back
Top Bottom