Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

Uyoo jamaa anazingua kisa rangi ake mkuu. Atalalamikia uko wananitenga atataka huruma za walimwengu
Dah kwa rangi yake alitakiwa awe mpole sana asikutwe kwenye makosa ila sivyo
 
Wamemuonea huruma tu uyo wakimuamulia hatoboi
Nilisikia askari magereza huwa wanapitia mafunzo makali kudhibiti wafungwa sasaa kile kichambooo wakabaki wanakenua meno tu.
 
Raia wa leo, mfungwa wa Kesho.

Wakina Boni Yai, Sugu, Lema nk wameishi Magereza fresh tu.

Huyu bwana sio tu amewadharau Askari Magereza, amewadharau na wafungwa pia.
 
Back
Top Bottom