Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

Naona mashabiki wa Simba wanachangia kwa hisia sana😂😂😂
 
Manara yuko sahihi,wewe huwezi ukafoka foka tu hovyo kisa wewe askari.
Mie ningekua Manara ningemuongezea na tusi juu huyo askari magereza.
Kwahy unaona ni sawa kapaki gari mbele ya gari unaambiwa pishs unasema mpaka umalize mahojiano kweli
Silipendi hilo jamaa kwanza lina jeuri (kiburi) halafu linapenda kuropoka ropoka. Hivi samahani ndo inaombwa hivyo kweli
Mimi nasema huyu anatakiwa siku afichwe then afundishwe namna ya kuomba samahani
 
Mkuu tunabishana bure ila askari hakutumia ustaarabu.
Tafta kisa cha mama Samia kipindi bado mtumishi wa chini alivyowekwa selo kisa kapishana na gari ya askari nusuru kuwagonga.
Askari polisi wana mtihani kichwani.
Hapana
 
Mimi Mwananchi kindakindaki lakini nilikerwa na maneno ya Manara dhidi ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Yanga wanatakiwa wamfungie kujihusisha na Timu yao kwa muda ili liwe onyo kwa wote wenye tabia hiyo!!!
Wakimfungia atajipendekeza azAm
 
Mimi na roho mbaya ujui tu
Msamehe tu, mtafute umuone kwanza kisha uje utupe mrejesho.

Hata utashangaa anawezaje kuongea hivyo.

Wanasema watu wenye infiriority complex wanaomgea sanaa, basi ndio yule, anajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom