Manara aomba msamaha kwa dharau alizowafanyia Magereza

Yani huwa anahisi yupo Juu ya sheria na kila mtuu.. akijisikia kuropoka anaropokaa tuu sasa mpaka Maboss zake watakaomlinda wanaona ni too much.
Wanamtetea vibaya
 
Raia wa leo, mfungwa wa Kesho.

Wakina Boni Yai, Sugu, Lema nk wameishi Magereza fresh tu.

Huyu bwana sio tu amewadharau Askari Magereza, amewadharau na wafungwa pia.
Kabisa sijui kwanini wanamuacha angesota mahakamani kwa mwakab nahisi angejifunza
 
Imenibidi niitafute hiyo clip ila sio big issue sana jamaa aliteleza tu.
 
Ili huyu ndugu awe na adabu kwa kila mtu, kila taasisi tia ndani, kwa muda mfikishe mahabusu Segerea akaone tofauti ya Maafisa Magereza na Wafungwa. Kuomba radhi sasa hivi amechelewa. Tunataka kumuona Haji Manara aliyebadilika . Kila kitu anajiona yeye ni super star, mjinga mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…