Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Makorokoro ndio hayoBaada ya semaji la nchi bugatinho kuwatawdhalisha kolo utelembwe kutofua shumiz za vunja price kwa quality mbovu madhara yake yashaanza kuonekana kabla ya kuanza kufuliwa,zikifuliwa si zitakua balaa
View attachment 1926585
View attachment 1926587
Wewe unadhani aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubeleshi ( Belgium ) aliposema kuwa Watu wa Yanga SC ni Wapumbavu, Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea?Ukiangalia vizuri utaona ni nguvu imetunika kuchana hiyo Jez
Uzeruzeru unahusiana nini?! Pumbavu mkubwa wewe.Siku huyo Zeru zeru akiwageuka wasilalamike tu maana sasa wanaona anawafurahisha.
Kwani Zeru zeru ni tusi,kama hujui kiswahili sema.Uzeruzeru unahusiana nini?! Pumbavu mkubwa wewe.
Ulemavu wa mtu unahusikaje kwenye ushabiki wa mpira?!Kwani Zeru zeru ni tusi,kama hujui kiswahili sema.
Huyo mlemavu ndio maana haruhusiwi kucheza game za mashindanoUlemavu wa mtu unahusikaje kwenye ushabiki wa mpira?!
Uzeru zeru sio ulemavu nyie ndio mnawanyanyapaa kwa kuwaita walemavu.Ulemavu wa mtu unahusikaje kwenye ushabiki wa mpira?!
Mwambie akakae juani saa saba mchana kesho na mimi nikaeUzeru zeru sio ulemavu nyie ndio mnawanyanyapaa kwa kuwaita walemavu.
Kitatokea niniMwambie akakae juani saa saba mchana kesho na mimi nikae
Simba ndio mmemtengeneza Manara kuwa hivyo alivyo...Naona mmeamua kumuita Buggatinho ili aonekane ni mchezaji wa brazil
uto ni matakataka sana
Halafu bila kofiaMwambie akakae juani saa saba mchana kesho na mimi nikae
Patrick aussems alimaliza kila kitu hapa kuhusu makolocho utelembwe kanga mokoWewe unadhani aliyekuwa Kocha wao Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubeleshi ( Belgium ) aliposema kuwa Watu wa Yanga SC ni Wapumbavu, Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea?
Cc: Mgagaa na Upwa, kenshi, Kiranja Mkuu
ila hatukumtengeneza awe hovyo alivyoSimba ndio mmemtengeneza Manara kuwa hivyo alivyo...