Manara atoa onyo kutofua jezi mpya ya simba kutokana na quality kuwa mbovu

Manara atoa onyo kutofua jezi mpya ya simba kutokana na quality kuwa mbovu

Mwambie akakae juani saa saba mchana kesho na mimi nikae
Kamuulize Mwamedi kipindi kile alipotekwa na kuvalishwa kanga laini ya Mombasa alikaa wapi,kitandani au kwenye kochi.
 
Tutalalamika kwasababu hata na nyinyi amewageuka mnalalamika[emoji24]
Nakumbuka miaka ya 80s Marekani walibadilishana na Iran mateka kwa silaha, halafu silaha zilizile zilitumika kuangushia ndege ya Marekani.
 
Siku huyo Zeru zeru akiwageuka wasilalamike tu maana sasa wanaona anawafurahisha.
Mkuu hujafa hujaumbika
Tumia busara kidogo haya maisha ni mapito na huu ni utani wa mpira mbona sisi tunaambiwa tumebeba misukule kwenye jezi lakini hatujamaindi kiasi hiki

Nakuombea kwa Mungu walau akupe hekima japo kidogo
 
Kwani zeruzeru si jina la kawaida TU,au mnataka aitwe kwa kizungu, "albino" ndio mnaona sawa, Manara ni zeruzeru,ana haki sawa na raia yeyote wa jamhuri,kuwa zeruzeru sio tiketi ya kutukana wenzake au kokosa heshima kwa wenzake!!
Anapaswa kuonyesha heshima kwa wengine na yeye ataeshimiwa pia,uzeruzeru wake isiwe tiketi ya kujiona yuko juu ya Sheria
 
Bongo kuna ujinga sana, reasoning ni issue sana. Sasa issue ni jezi au ??
 
Kwa kauli hii, tema mate mbali ndugu yangu. "Usitukane Wakunga na uzazi ungalipo"
Kolo hawana akili,manara katutukana sana sisi Yanga lakini atukuwahi kumuonyesha chuki yoyote,mikia wamekerwa wiki tu wanamuattack kwa kila aina ya maneno machafu
 
Back
Top Bottom