Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Manara mdomo mchafu mkuu...
Maneno kama vyura, utopolo na mengi e mengi ni kwa sababu Manara kayatamka...
Unamsingizia Manara kwa jina la Utopolo lilitolewa na mwana yanga lia lia baada ya Yanga kufungwa mfululizo.