Manara: hili la kusema wenye akili Yanga ni wawili tu halikubaliki

Manara: hili la kusema wenye akili Yanga ni wawili tu halikubaliki

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki


 
Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja...
Hata hayati aliwahi kumuonya na kumtaka afute hii kauli lakini akakaidi
1658823690891.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwani hakuwa sahihi? Kwa hilo Manara alikuwa sahihi na ndo Maana hata baada ya kuhamia huko walimkaribisha kwa mikono miwili bila kujali kwamba alishawatukana.

Na ukitaka kulithibitisha hilo angalia kwenye hili sakata lake jinsi wanavyomtetea mtesi wao

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Lakini tuseme ukwe bila Manara Yanga ubingwa wangeusikia kwa jirani hadi mwisho wa dunia. Ngoja awatukane tu amewafanya wanyanyue makwapa. Na akiondoka Yanga sasa hivi wataishia round za awali kwenye CAF CL, na ligi ya nyumbani watafungwa hata na Singida Big [emoji93]. Wacheni Manara aheshimike Yanga

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbona wenyewe utopolo walishakubali na hawajapinga popote
 
Back
Top Bottom