Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hata hayati aliwahi kumuonya na kumtaka afute hii kauli lakini akakaidiWanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja...
Haka kadingi nikachawi balaa
UmejuajeHaka kadingi nikachawi balaa
😂😂Duuh aiseee
Mhhh uchawi ndo alioshika hapo?
Wenye akili ni wawili waliobaki ni mambumbumbuSasa Pale utopoloni nani mwingne mwenye akili
Haji yuko sahihi kabisaWanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
View attachment 2304486